Halima Mdee na wenzake 18 wapanga kuihujumu BAWACHA, washitukiwa

Kumetokea nini kwa viongozi wa BAWACHA waliobaki? Pamoja na maelekezo ya Mwenyekiti kujwazwa haraka kwa nafasi walizokuwa wakizishikilia, bado mpaka sasa hazijajazwa na watu wengine, kwa nini?

Nia yao ya kukata rufaa haiwahalalishi kuwa bado wanashikilia nyadhifa zao mpaka pale maamuzi ya rufaa zao yatakapotolewa?
 
Kwani hili chama cha DJ bado kipo nikajua kimeamua to a remix za wakimbizi na waliobaki washapewa ruhusu ya mwenyekiti DJ waingie bungeni....nyumbu bana
 
Mbona Mbowe muungwana anawasubiri wakate rufaa.
 
Hii tango pori, au ndo hujuma zenyewe? Eti akina Mdee walifukuzwa chadema Okt 27? Kwa hiyo walishiriki uchaguzi mkuu wakiwa siyo Wanachama wa Chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…