Kama Ccm waliweza kuigiza saini ya Mnyika hakuna la kushangaa kuona nembo ya Chadema ikitembea huku mtandaoniBaraza la Wanawake wa Chadema limekanusha kuitisha kongamano lolote linalohusiana na BAWACHA , hivyo halitambui kongamano lolote litakalofanywa kwa kutumia jina lao.
View attachment 1651556View attachment 1651558
Janga la Taifa ni hao wakimbizi wa kubumba. Eti na Nyalandu anatishiwa maishi nae anataka kutoroka nchi!!Ccm ni janga la taifa letu na ndiyo hao watakao leta machafuko
Dunia yote inajua kuwa ccm ni janga la taifa.Janga la Taifa ni hao wakimbizi wa kubumba. Eti na Nyalandu anatishiwa maishi nae anataka kutoroka nchi!!
CHADEMA kinasimamia kikamilifu mchakato wa kifo chake.Baraza la Wanawake wa Chadema limekanusha kuitisha kongamano lolote linalohusiana na BAWACHA , hivyo halitambui kongamano lolote litakalofanywa kwa kutumia jina lao.
View attachment 1651556View attachment 1651558
Nani kakudanganya kwamba Chadema ilinyimwa kura ?CHADEMA kinasimamia kikamilifu mchakato wa kifo chake.
Wananchi walikinyima kura lakini enewei sikio la kufa....
Ni aibu kubwa sana kwake na familia yake , Mkuu ni hivi , mimi nilikuwa miongoni mwa wachache sana ambao hawakumuamini kabisa Halima Mdee kwa kipindi kirefu mno , nilianzia kwenye sakata la Zitto kuondolewa Chadema , na nakuhakikishia kwamba Mbowe alifahamu jambo hili ila kwa kuepusha shari akampeleka Mdee Bawacha , ilikuwa mkakati wa kumzubaisha na alizubaa kweli ( Hili nitalitengenezea uzi maalum )HALIMA MDEE?
Ni vigumu kuamini kwamba ameweza kugeuka na kuwa hivi alivyo sasa.
Kwa nini ukihujumu chama ulichokipenda kwa moyo wako Halima?
Baada ya mateso yote yale, inakuwaje ubadilike na kushirikiana na watu waliokuwa wakikutesa na kukitesa chama?
Kuna kitu unachokisimamia kweli kwa dhati katika maisha yako?
Shetani siku zote hamshindi Mungu.Nani kakudanganya kwamba Chadema ilinyimwa kura ?
Vijana wa Mbowe mmeshajipanga kuendesha kampeni chafuzi mitandaoni.Ni aibu kubwa sana kwake na familia yake , Mkuu ni hivi , mimi nilikuwa miongoni mwa wachache sana ambao hawakumuamini kabisa Halima Mdee kwa kipindi kirefu mno , nilianzia kwenye sakata la Zitto kuondolewa Chadema , na nakuhakikishia kwamba Mbowe alifahamu jambo hili ila kwa kuepusha shari akampeleka Mdee Bawacha , ilikuwa mkakati wa kumzubaisha na alizubaa kweli ( Hili nitalitengenezea uzi maalum )
Sasa haya ndio mambo ambayo Tundu Lissu na Msigwa wanapaswa kujadili na kujikita zaidi ili kuleta mustakbali wa chama chao sio unaacha migogoro ya chama chako unakuja kujadili maslahi na mambo ya ACT., period..!Baraza la Wanawake wa Chadema limekanusha kuitisha kongamano lolote linalohusiana na BAWACHA , hivyo halitambui kongamano lolote litakalofanywa kwa kutumia jina lao.
View attachment 1651556View attachment 1651558
Hujui kitu , tulia tukupe somoVijana wa Mbowe mmeshajipanga kuendesha kampeni chafuzi mitandaoni.
HahahaHujui kitu , tulia tukupe somo
Yaani watu wanao shabikia upinzani hua ni kama punguani tu,ni afadhari kukaa kama sisi bila vyama vya siasa,sasa hapa hao CCM wanakujaje? Kutwa kucha ni visingizio tu,chama cha siasa kimesha jichanga lakini shutuma zinaenda kwa kundi jingine,wapuuzi kweli ninyiCCM wanahangaika kweli na hawa COVID -19 namna ya kutengeneza mapasuko CHADEMA ila wanakwama kila mbinu.
Basi, kama ni muigizaji kiasi kile anastahili tuzo ya uigizaji.Ni aibu kubwa sana kwake na familia yake , Mkuu ni hivi , mimi nilikuwa miongoni mwa wachache sana ambao hawakumuamini kabisa Halima Mdee kwa kipindi kirefu mno , nilianzia kwenye sakata la Zitto kuondolewa Chadema , na nakuhakikishia kwamba Mbowe alifahamu jambo hili ila kwa kuepusha shari akampeleka Mdee Bawacha , ilikuwa mkakati wa kumzubaisha na alizubaa kweli ( Hili nitalitengenezea uzi maalum )
Kwa kifupi ni kwamba ukihukumiwa kifungo, unaendelea kutumikia adhabu yako wakati mchakato wa rufaa unaendelea. Inavyoonekana Wala hawana haraka ya kukata rufaa. Ni haki yao tuwaachie.Kumetokea nini kwa viongozi wa BAWACHA waliobaki? Pamoja na maelekezo ya Mwenyekiti kujwazwa haraka kwa nafasi walizokuwa wakizishikilia, bado mpaka sasa hazijajazwa na watu wengine, kwa nini?
Nia yao ya kukata rufaa haiwahalalishi kuwa bado wanashikilia nyadhifa zao mpaka pale maamuzi ya rufaa zao yatakapotolewa?
ccm wanahusika sana tu. Sag lote hili ni mgogoro katika CHADEMA, na wao si waliitangazia dunia lazima waue upinzani? Na pia ishu hii imebebwa na dola ya ccm. Hushangai mtu kujaza fomu za ubunge akiwa magereza? Na kwa nini mpaka wanavunja Katiba, watu si wanachana wa chama cha siasa lakini spika kakomaa nao. Kama yote hayo kwako huelewi, basi achana na mijadala ya siasaYaani watu wanao shabikia upinzani hua ni kama punguani tu,ni afadhari kukaa kama sisi bila vyama vya siasa,sasa hapa hao CCM wanakujaje? Kutwa kucha ni visingizio tu,chama cha siasa kimesha jichanga lakini shutuma zinaenda kwa kundi jingine,wapuuzi kweli ninyi
Dhamira zinawashtakiKwani H. Mdee na genge lake si wameshaahidiwa kulindiwa ugali wao na Ndugai, wamesahau nini CHADEMA?
Cdm bado tupo imara sana chini ya mwavuli wa mwenyekiti wetu mwamba wa hai mh MboweKama wamefanikiwa kwa ACT wasidhani hata kwa chadema kuwa wataweza.