Halima Mdee na wenzake kulamba asali hivi karibuni

That will never happen!
 
amka ukakojoe usiendekeze ndoto!!
 
Kwa awamu hii sahau.

Yaani sisi tuko chamani muda mrefu alafu tutoswe wapewe hao waamihaji, haiwezekani!
 
Nitaishangaa hii serikali ya Samia inayodai imeanza kutibu majeraha ya awamu iliyopita ikiwakumbatia hao wanawake na kuwapa vyeo.

Samia akifanya hivyo ataonesha dhahiri kwa vitendo mbele ya macho ya ulimwengu kuwa hizi juhudi zake za kuleta maridhiano ni usanii mtupu.
 
Mama wa kiislamu hawezi kurithi uchafu...kifupi kund la Covid-19 limekufa na kuzikwa rasmi jana kila mmoja na lwake kwa sasa.

Kuna baadhi nawaona wakiomba radhi na kuomba uanachama upya CDM.
 
Usiwaamini watawala haswa Wana CCM, wakudanganya Ili wafanikishe ajenda zao Kisha wanakutelekeza
 
Usiwaamini watawala haswa Wana CCM, wakudanganya Ili wafanikishe ajenda zao Kisha wanakutelekeza

Mzee Halima Mdee atapangiwa Ukraine nafasi ipo wazi.

Umahiri wa Mzee Halima Mdee unaweza kusaidia kumaliza Vita baina ya Ukraine na Russia.
 
😂😂😂 Kijana unaleta masihara Ile vita itamalizwa pale Vatican na Russia Orthodox watakapokaa chini na kumaliza vita
Mzee Halima Mdee atapangiwa Ukraine nafasi ipo wazi.

Umahiri wa Mzee Halima Mdee unaweza kusaidia kumaliza Vita baina ya Ukraine na Russia.
 
For the good of the country hawatapewa chochote, maana itaonekana serikali inabariki forgery
 
For the good of the country hawatapewa chochote, maana itaonekana serikali inabariki forgery

Forgery walifanya wao au walisaidiwa na mamlaka fulani ?.Kuna Binti alitolewa gerezani usiku usiku na kupewa ubunge unafikiri aliyefanya hayo yote ni Covid 19 ?.
 
Nitashangaa sana!
 
Ester Bulaya ni Usalama wa Taiga.
 
Vipi Nyalandu si ndio aanze??

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Matajari wanapaki malori dizel haikamatiki alfu mnaongea nni
 
Ndugu Ngongo habari ya Burundi ,wasalamie hapo Bujumbura,pia amka kwani ndoto inakupa matumaini makubwa mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…