Halima Mdee na wenzake wakapate ushauri nasaha kwa Mama Sophia Simba, kuna maisha bila Ubunge wasiogope

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nawashauri tu wale Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA kwamba badala ya kulialia kupitia media ni vema wakajifunza " subra" kwa mh Sophia Simba Mbunge wa Viti Maalum CCM.

Subira ni jambo jema kuliko kupagawa na kukurupuka.

Mama Sophia Simba alivuliwa uanachama na kupoteza Ubunge " halali" lakini kwa sababu ya ukomavu wake kisiasa na kukipenda chama chake hakulalamika popote.

Kwa sasa Simba ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM ile ile.

Halima na wenzie waangalie walipojikwaa na siyo walipoangukia.

Sabato njema.

Maendeleo hayana vyama!
 
Alima kadharaulika kwa muda mchache
 
Pamoja na kuwa wewe ni CCM lakini kwa hili nakuunga mkono.
 
Sofia Mbona Aliomba Poo Ccm Ama Unamzungumzia Mwingine!!! Omba Mungu Yasikukute
 
Halima naambiwa ni mwanasheria, alikuwa hajui hilo mpaka aambiwe na mzee Msekwa? wangeenda kumuuliza kabla ya kuingizwa mkenge
 
Wasabato husimamia ukweli. Wasabato si watu wa kushabikia wizi - wa kura ama wa kitu kingine. Wasabato ni watu wa kusimamia ukweli na amri za Mungu. Si watu wa kuunga mkono wauaji, wabambiaji wenzao kesi za uhujumu uchumi, ugaidi, kutakatisha pesa nk.

Ongea na Mungu wako leo. Watu wa Mungu wa mbinguni hawashabikii matendo ya giza kama wizi wa kura, ushuhuda wa uongo na mauaji kwa ajili ya madaraka. Haya yote ni ubatili. Nebuchadinezzer.
Sabato njema.
 
Subiri sabato takatifu ipite ndo ufanye siasa, if you are really sabbath keeper,God of sabbath is bigger than Tanzanian politics
 
Halima ndala ndefu tumeshazika sisi
 
Halima Mdee a.k.a.Delila maskini Yuda Iskarioti wa kike anaenda kuwa kama Lipumba profesa uchwara .
 
Nyinyi watu wabaya sana hata shetani anawaogopa, mmewaingiza mkenge, wakaangushiwa chuma chenye ncha kali sasa mnajifanya Angaza kutowa ushauri nasaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…