Halima Mdee na wenzake wakapate ushauri nasaha kwa Mama Sophia Simba, kuna maisha bila Ubunge wasiogope

Nasikia kuna wanasheria wameona wanafaa kuendelea kuwa wabunge.

Nawaonea huruma kwavile najua wameponzwa na hela tu.
Lakini sasa wanaaibika. Hata kama watabakishwa bungeni ,, kwaajili ya heshima yao ni bora wakaukataa huo ubunge wa magumashi.

Warudi nyumbani watathmini mambo yao kisha waangalie jinsi ya kurudisha heshima yao.

Naamini hasira za watanzania hasa wana- cdm zitakapokuwa zimepoa wataweza kuwasamehe kirahisi kabisa na watarudi kwenye anga zao zilizowapa heshima.
 
Ungekuwa hivi siku zote ..nyuzi zako zingesomw sana kuliko maelezo .
Ila kuna muda akili hua zinakuruka Mh Yohana
 
Maendeleo hayana vichwa
 
Sasa hapa umeongea point, kuwa waache kulialia yule aliyewatumia watulie atawafikilia. Umeona mbali sana
 
Wale wengine wanaweza samehewa, labda, ila huyu "tomboy" H Mdee ni jeuri sana, sijuwi itakuwaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…