econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Wakati akina Halima Mdee wanakuja ukumbini, walisindikizwa na wanawake Kama 30 ambao sio wajumbe wa mkutano, wakawa wanaimba tunamtaka Halima wetu.
Hilo lilikuwa dosari kubwa Sana. Hata Kama Kuna wajumbe wa baraza kuu walikuwa na lengo la kuwasamehe baada ya kuona kile kitendo, wakaamua kubadilika maamuzi.