Halima Mdee na Wenzake walikosea kwenda na waandamanaji

Halima Mdee na Wenzake walikosea kwenda na waandamanaji

Wakati akina Halima Mdee wanakuja ukumbini, walisindikizwa na wanawake Kama 30 ambao sio wajumbe wa mkutano, wakawa wanaimba tunamtaka Halima wetu. Hilo lilikuwa dosari kubwa Sana. Hata Kama Kuna wajumbe wa baraza kuu walikuwa na lengo la kuwasamehe baada ya kuona kile kitendo, wakaamua kubadilika maamuzi.
Ndugu yangu tatizo siku zote ukileta 'mihemko' kwenye nyakati zinazohitaji utulivu na busara kwa changamoto zinazokukabili, matokeo yake mara nyingi ni hasi.....badala ya kupokea maamuzi yaliyofanywa na kwenda kuyatafakari kwa mapana, unaishia tena kukashifu maamuzi tena mbele ya press ukiyaita ya kihuni' na kudai utaendelea kuwa mpenzi wa chama cha 'wahuni'....kaazi kwelikweli....why Halima&Co..msingekubali kuretreat,na kukubali kujishusha na maisha pande zote yaendelee peacefully??? Politics siku zote haihitaji jazba!
 
Ni Wazi Halima na wenzake walijua lazima wataadhibiwa. Na adhabu iliyo Wazi ilikuwa ni kufukuzwa uanachama kitendo ambacho kilishatendwa na Kamati kuu na hivyo kupelekea kukosa sifa ya kuwa Wabunge.
Nakubaliana na wewe kwamba namna pekee ya kutopoteza vyote ilikuwa ni kuretreat ili wabaki Wanachama maana Kwa vuovyote ubunge wangeupoteza. Baada ya kubaki Wanachama wangeandika barua za kuresign maisha yakaendelea.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Unaambiwa unaweza kuwa smart siku zote lakini ukajikwaa na kuchafua suti yako in a minute time
One 'Aw, Shit' Wipes out a Thousand Attaboys.
Msemo wa wahenga wa uzunguni.
 
Kwa blanda ya kosa la kufoji. Itamgharimu kujisafisha
Angekuwepo jiwe angeteua kikosi kazi cha kumsafisha ili aendelee kuleta msuguano chadema. Mana ndio malendo yao kukimaliza, sasa kaondoka, kiuongo mzoefu nae kawekwa pembeni, huu mchezo huu! Wasubiri huruma tu huko mbeleni
 
Wakati akina Halima Mdee wanakuja ukumbini, walisindikizwa na wanawake Kama 30 ambao sio wajumbe wa mkutano, wakawa wanaimba tunamtaka Halima wetu.

Hilo lilikuwa dosari kubwa Sana. Hata Kama Kuna wajumbe wa baraza kuu walikuwa na lengo la kuwasamehe baada ya kuona kile kitendo, wakaamua kubadilika maamuzi.
Yalikuwa ni maelekezo Ili kuleta mgawanyiko Kwa wajumbe. Naona pia kuchelewa kukaa Kwa balaza kumepunguza mvuto wao ndani ya chama Kwa watu kuujua UKWELI.
 
Kumbe ana kundi kubwa hivyo? Akihamia ACT ataiua CHADEMA.
CCM hatuna hiana na Mdee na wenzake. Wakiamua kuja kwetu tutawapokea na u-DC juu! Tena wa Hai ili Mbowe akifika Hai anenda kumsalimia Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya Mh. Halima Mdee!
 
Wakati akina Halima Mdee wanakuja ukumbini, walisindikizwa na wanawake Kama 30 ambao sio wajumbe wa mkutano, wakawa wanaimba tunamtaka Halima wetu.

Hilo lilikuwa dosari kubwa Sana. Hata Kama Kuna wajumbe wa baraza kuu walikuwa na lengo la kuwasamehe baada ya kuona kile kitendo, wakaamua kubadilika maamuzi.
sahihisha, hawakuwa waandamanaji bali ni walinzi wao binafsi.
 
Amejibrand as msaliti of the highest degree. mwenye akili hawezi kumfuata. Atafuatwa na takataka
Dah....kikawaida takataka ni nyingi Sana....na ndizo zinazopiga kura 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom