kumbe ana kundi kubwa hivyo? Akihamia ACT ataiua CHADEMA.
Shallow analysis and thinkingkumbe ana kundi kubwa hivyo? Akihamia ACT ataiua CHADEMA.
Amejibrand as msaliti of the highest degree. mwenye akili hawezi kumfuata. Atafuatwa na takatakaAna brand amejitengenezea tayari, akiitumia vizuri wanawake watavutwa kwake. Wa chama chochote hata wasio na chama.
Amejibrand as msaliti of the highest degree. mwenye akili hawezi kumfuata. Atafuatwa na takataka
Kweli eti?kumbe ana kundi kubwa hivyo? Akihamia ACT ataiua CHADEMA.
Ndugu ukishakuwa Yuda, Yuda, ujue Mungu ameshakutupa!! Siasa ni very volatile, ukiharibu umejizamisha!! Huw zi pata hata support ya kipofuAna brand amejitengenezea tayari, akiitumia vizuri wanawake watavutwa kwake. Wa chama chochote hata wasio na chama.
Kuchinjwa ni kuchinjwa tu weather kichwa kielekezwe kibra ama wapi bisu limepita.Wakati akina Halima Mdee wanakuja ukumbini, walisindikizwa na wanawake Kama 30 ambao sio wajumbe wa mkutano, wakawa wanaimba tunamtaka Halima wetu. Hilo lilikuwa dosari kubwa Sana. Hata Kama Kuna wajumbe wa baraza kuu walikuwa na lengo la kuwasamehe baada ya kuona kile kitendo, wakaamua kubadilika maamuzi.
Si ndo uhuru na haki ambao cdm inapigania! Au?Wakati akina Halima Mdee wanakuja ukumbini, walisindikizwa na wanawake Kama 30 ambao sio wajumbe wa mkutano, wakawa wanaimba tunamtaka Halima wetu. Hilo lilikuwa dosari kubwa Sana. Hata Kama Kuna wajumbe wa baraza kuu walikuwa na lengo la kuwasamehe baada ya kuona kile kitendo, wakaamua kubadilika maamuzi.
Aje kwetu huku Umoja Party bado nafasi zipo wazi, huko kwingine kumejaa.kumbe ana kundi kubwa hivyo? Akihamia ACT ataiua CHADEMA.
Alichukulia poa, hakuna mkubwa kuliko Chama, hata Mbowe akizingua anang'olewa tu.Lile kundi nililiona nikahisi ndio watakuwa walinzi wake, kumbe walikuwa wapambe.
Hakujua mambo muhimu kama haya ya kuamua destiny huwa hayahitaji vigelegele, ule haukuwa mkutano wa kitchen party.