Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 844
Tatizo la Gwajiboy ni kula kondoo wake! Pia kuwaibia waumini wake; eti mchungaji ana magari mawili aina ya Hammer (sijui kama una idea ya bei yake?), private jet, etc., wakati waumini wake husalia kwenye uwazi wakipigwa na mvua na jua, huku wakiendelea "kumtolea Bwan"a, kwa kumneemesha Gwajiboy!Msigwa je?
Au Gwaji kuwa Ccm ni dhambi ila Msigwa kuwa Chadema ni thawabu?