Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 844
Tatizo la Gwajiboy ni kula kondoo wake! Pia kuwaibia waumini wake; eti mchungaji ana magari mawili aina ya Hammer (sijui kama una idea ya bei yake?), private jet, etc., wakati waumini wake husalia kwenye uwazi wakipigwa na mvua na jua, huku wakiendelea "kumtolea Bwan"a, kwa kumneemesha Gwajiboy!Msigwa je?
Au Gwaji kuwa Ccm ni dhambi ila Msigwa kuwa Chadema ni thawabu?
Ni msanii mpigaji angekuwa mchungaji angeshajenga kanisa badala ya kununua hammer magari ya watu washamba shamba hiviTatizo la Gwajiboy ni kula kondoo wake! Pia kuwaibia waumini wake; eti mchungaji ana magari mawili aina ya Hammer (sijui kama una idea ya bei yake?), private jet, etc., wakati waumini wake husalia kwenye uwazi wakipigwa na mvua na jua, huku wakiendelea "kumtolea Bwan"a, kwa kumneemesha Gwajiboy!
Gwajima na Mzee wa Upako binafsi huwa wanaficha uovu wao kupitia kumsifu yesu wa Chato.Tulisema Gwajima ni msanii aliyejificha kwenye koti la dini tukabezwa sana..sasa chui halisi anajifunua toka ngozi ya kondoo
Siyo hiyo tu,alivyokuwa akipiga mashine huku anajirekodi nani alimtuma?Aliposema atamfufua amina nani alimtuma
Hata dini kwenyewe Ni full kukashifiana. Rejea wasabato wanavyowakashifu Catholics kuwa ni mawakala wa shetani. Sembuse kwenye siasa.If you can't take the heat, stay out of the kitchen.....;
Yaani mwanasiasi anaanza kulindwa kwamba asitukanwe au asichonganishwe ?, wanadhani siasa ni nini ?, Mkutano wa Injili ?
This is Bogus, hawa Tume wanaleta mchezo wa ajabu kwa kutumia Kodi zetu ku-finance haya mambo ya ajabu, ajabu.....
Labda ni mganga wa jadi..Mpaka sasa sielewi CCM wamempa Gwajima kwa kutumia vigezo gani ........... Au ni kwa kuwa ni wa kwetu Koromije au kuna jingine....!! cc Pascal Mayalla
Chukua tano!Hukumu za tume Ni batili kinyume na sheria unatoa vipi hukumu bila kumsikiliza mtetea.
Kwani pono boy wakati anaropoka akujua kuna siku atagombea ubunge
Na aliyemtukana Kadinali Pengo ni Halima au Gwajima?aliyesema maneno ya kukashfu uislam ni Halima au Gwajima?
Ni muumini wa misukule na mizimu kama huyu aliyempitisha. Yaani wapo pamoja kwenye "hizo ibada".Mimi Siyo CDM. Mwenye kit amedai hadharani kuwa alimtosa mtoto wa Dada yake na kumpa huyu tapeli.Nimeuliza ni sifa gani Waliziona kwa huyu muuza unga...!? Kama Hujui nyamaza!!
Unajua kuna "Wachungaji" na "Wachumaji"???? Wengine wanajiita tu, lakini wapo kanisani kuwachuma waumini!!!Ni msanii mpigaji angekuwa mchungaji angeshajenga kanisa badala ya kununua hammer magari ya watu washamba shamba hivi
Jamani acheni uongo, mbona sijaona hiyo mnayoita clip ya Mhe. Baba Askofu Gwajima?Siyo hiyo tu,alivyokuwa akipiga mashine huku anajirekodi nani alimtuma?
ha haaa si ndo hapo..aliyesema Gambo hafai ni Lema au Magufuli?Na aliyemtukana Kadinali Pengo ni Halima au Gwajima?
Ihiiiiiiiiiiiii baghoshagwajima anatenda dhambi ya kutumikia mabwana wawili. asahau ubunge.