Pre GE2025 Halima Mdee ndiye Mtu Pekee aliyekuwa Sahihi kumpokea Uwenyekiti Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mheshimiwa Halima Mdee ndiye mbadala wa Mbowe na ndiye anayekwenda kushika Uwenyekiti, ili kukata kiu ya wanachama wa CHADEMA ambao wanamhitaji sasa kuliko wakati mwingine wowote ule.
 
Kwani akina Mdee si walitokana na uchaguzi ambao ninyi mlisema ni uchafuzi na kwamba hamuutambui?Sasa mlipokea na kuvuta Billion 2.7 za nini wakati mlikataa kuutambua? Au uchaguzi unakuwa huru tu pale Mbowe akiingia Bungeni?

Wewe ni mwendawazimu.

Kwa sababu huna akili ya kuelewa, kuanzia leo kariri: 'wabunge wa viti maalum hawasababishi kupatikana ruzuku yoyote, bali wao wabunge wa kuteuliwa, na ruzuku, hutegemea kura alizopata mgombea wa kiti cha Urais na wabunge wa majimboni'
 
Wewe ni punguani bingwa.

Tangu lini wabunge wa viti maalum husababisha kupatikana kwa ruzuku. Kama hulijui hata hili, jipige kifuani mara tatu, ukitamka kuwa, "mimi punguani mnafiki nisiyejua kitu" × 3.
Hujaelewa hoja yangu na badala yake umekurupuka kama kawaida yako kukurupuka. Hoja ni kuwa akina Mdee ni zao la uchaguzi wa 2020 ambao ninyi mliukataa na kusema hamuutambui. Lakini kwa janja janja zenu mkavuta Billion 2.7 kimya kimya na kuanza kuzitafuna bila kunawa hata mikono mpaka pale Mheshimiwa Kijana alipokuja kuweka wazi suala hilo sio mkaanza kuweweseka
 
Kwani Mdee hakuwa mgombea ubunge jimboni kwake kawe? Acha uhayawani wako
 
Ni kwa sababu ananunulika na CCM mnahitaji watu kama hao. Halima hana tofauti na Zitto na wengine wanasiasa malaya malaya.
Heche kwangu mimi ndie chaguo sahihi baada ya Lissu.
Hakuna anayeweza mpatiya uwenyekiti mropokaji kama Heche. Huoni hata uwenyekiti tu wa kanda alidondokea pua?
 
KAMKABIDHISHE BASI
KUNA MTU ALIWAHI KUNIAMBIA UMEWAHI KUTIBIWA UGONJWA WA AKILI
 
Chama apewe John Heche kama Mbowe anaachia. Heche hatetereki hana bei.
 
Hata suala la uwanachama wao lilishamalizika na wanatambuliwa kiwa bado ni wanachama halali wa CHADEMA, wenye haki zote ikiwepo hii ya kugombea uwenyekiti wa chama Taifa

.
 

Attachments

  • JamiiForums1381953234.jpeg
    49.5 KB · Views: 1
Yani tuchukue Demu tumpe chama, mumnunue atengeneze machawa kama wafanyavyo Samia na Tulia?

Sisi sio wajinga kiwango cha CCM.

Hatuhitaji ushauri.
 
Naunga hoja ya mleta mada. Halima Mdee anafaa kuwa kiongozi wa juu nchini. Kuwa rais wa nch kwa kweli sina uhakika kamili lakini nadhani ana uwezo wa kufika akipata washauri wazuri. Kwa kuchukua nafasi ya Mbowe anafaa kabisa.
Ataiuza nchi hafai
 
Mbowe ni lazima akubali tu kumuachia chama Mheshimiwa Mdee ,maana muda wake umekwisha. 2015 aliahidi kuachia uwenyekiti lakini tunashangaa mpaka leo ameng'ang'ania tu kwenye uwenyekiti utafikiri sumaku.
Ni lini UWT mmefanya uchaguzi wa Mwenyekiti wenu?
 
Mwanaume unaandika paragrafu zote hizi kisa kusema Halima amrithi Mbowe kweli bando limepata mtu.
 


Wewe jamii ya Mboga Mboga Mboga, mambo ya watu yanakuhusu nini? Useless pc of sht
 
Magazeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…