Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Wenye akili wanajua Halima Mdee ni imara kwa kitu gani. Sidhani kama Halima Mdee anazitafuta kura za wenye uwendawazimu. Wenye akili watamchagua kama walivyomchagua.Yuko imara kwa kitu gani huyu mdada? Hakuna cha maana anachopigania ila kuonyesha ukakamavu kuwazuga wale manyumbu wanaomfuata kama mbwa mbele ya chatu. Halima anacreate vagi mfululizo akitegemea kupata huruma na umashuhuri achaguluwe tena ubunge. Nachokiona ubunge hata akupigwa na magereza mara ngapi hapati watu wa kawe wamechoka na matukio na usanii..hakuna anachofanya na chadema yake imechokwa.