Halima Mdee punguza ulaghai, unadanganyaje umma kuwa akaunti za benki za wabunge waliofungwa zilikuwa na kiwango chini ya Tsh. Milioni 1?

Mtoa mada kaa na umaskini wako na acha wenye pesa watoe michango.
Ni kheri kuwa maskini wa kipato kuliko kuwa maskini wa akili kama za mtoa mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye account anatuambia balance yake sisi hatumuamini. huu ni ukichaa ambao upo hadi kweenye familia zetu
unapowaambia hauna hela wanakuona muongo
 
Kwani wewe ulilazimishwa kutoka familia ya kimaskini au wewe kutokuwa na ukwasi?
Kama huna pesa na wewe sema uchangiwe ili umiliki ukwasi.
Kweli tupu Halima anafoka kwenye familia yenye uwezo mkubwa kiuchumi pia mwenyewe ana ukwasi kifedha akiwa kama mbunge alipaswa awahurumie wananchi wa kawaida kwa kutowabugudhi kwa michango ilenngayo kupunguza uwezo wa walalahoi kujipatia shibe ya kila siku. Tatizo kubwa uongozi wa Chadema pale juu umejaa wasaka noti

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nadhani wananchi wamechanga tu kuonyesha mapenzi waliyonayo kwa viongozi na wanapinga uoenezi na ukandamizaji unaofanyika na mfumo sisiemu na si kwa sababu viongozi hao hawana uwezo wa kulipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujalazimishwa kuwa na kipato duni na usiseme watu wenye kipato duni jiseme wewe ndio mwenye kipato duni ndio maana una roho mbaya pesa tumechanga sisi kuwashwa unawashwa wewe.
Wanachangiwa hela kwa makosa yao wenyewe ambayo yangeweza kuzuilika, wanaowachangia hawana akiba yoyote ya maana na wakikumbana na magonjwa makubwa hao wanaochangiwa hawatawapa hata senti tano zaidi ya kuwaambia ugua pole.

Hizi ndizo siasa za dunia hii, hao waheshimiwa mwishoni mwa bunge la awamu hii wanaingiziwa milioni 200 kila mmoja, na wanakuja mtaani kukikomba kile kile kidogo cha mtu mwenye pato duni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii n
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!

Hii nayo imewauma hadi mnaanza propaganda ya kuwachonganisha Chadema na wachangiaji wao?

Aki ya nani mtakufa na pressure Kwa kushindana na mkono

Hii nayo imewauma hadi mnaanza propaganda ya kuwachonganisha Chadema na wachangiaji wao?

Aki ya nani mtakufa na pressure kwa kushindana na mkono wa Mungu. Tafuteni mlipoangukia mrekebishe. Dunia iko kinyume chenu.
 
Kweli tupu Halima anafoka kwenye familia yenye uwezo mkubwa kiuchumi pia mwenyewe ana ukwasi kifedha akiwa kama mbunge alipaswa awahurumie wananchi wa kawaida kwa kutowabugudhi kwa michango ilenngayo kupunguza uwezo wa walalahoi kujipatia shibe ya kila siku. Tatizo kubwa uongozi wa Chadema pale juu umejaa wasaka noti

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa Chadema wasaka noti tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uchungu na pesa ya wanyonge tungeoyesha kwa EPA, Kagoda, Escrow, na nyingine Kama hizo, tungeungana.
Kwa namna hiyo hiyo, unapokuwa na haraka ya kutaka watu waheshimu utawala wa sheria lakini hujawahi kuhoji kwa nini kuna wanufaika wa hayo na mengine hawajawahi kukanyaga mahakama, unapotezea watu muda kwa kuleta upuuzi kwenye mambo ya msingi.
 
Nguvu ya umma. Bado ni unyonyaji huo
Ishu hapa si kushindwa kulipa... Ishu hapa ni kutuma ujumbe kwa mamlaka husika kuwa hawa viongozi wana watu wengi sana nyuma yao!!
Social capital ni muhimu sana kuliko financial capital... Nyie wenye hela na madaraka mnatudharau sana sisi tusiokuwa nazo!!
Lakini sisi tuna nguvu ya uwingi... Nguvu ya Umma!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
We utakuwa mchawi. Roho imekuuma sana sisi kuwachangia kina Mbowe na chadema.
 
Aliye sema hivyo ni nani?
Hawa jamaa walifanya maandamano haramu ambayo yalisabisha polisi kutumia risasi za moto na matokeo yake risasi ikamuua mwanafunzi aliyekuwa kwenye dalala. Post yako ilikuwa "Wakifanya mnawakamata wakiacha mnawasema,.......
 
Fact
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
 
Mimi nikajua umekuja kuthibitisha kwamba acc zao zimejaa mahela mengi? Mbona umeongea kwa hisia tu? Una umri gani? Umeanza kujitegemea kweli?

Back
Top Bottom