lameckkawawa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 944
- 665
Kipofu akipotea njia ni wajibu ashikwe na kuonyeshwa njia muafakaYaani unandika upuuzi tu mchango tutoe sisi alafu ww ikuume na mwamba kasha lipiwa soon anatoka iliumie zaidi na wivu wako huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli tupu Halima anafoka kwenye familia yenye uwezo mkubwa kiuchumi pia mwenyewe ana ukwasi kifedha akiwa kama mbunge alipaswa awahurumie wananchi wa kawaida kwa kutowabugudhi kwa michango ilenngayo kupunguza uwezo wa walalahoi kujipatia shibe ya kila siku. Tatizo kubwa uongozi wa Chadema pale juu umejaa wasaka noti
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachangiwa hela kwa makosa yao wenyewe ambayo yangeweza kuzuilika, wanaowachangia hawana akiba yoyote ya maana na wakikumbana na magonjwa makubwa hao wanaochangiwa hawatawapa hata senti tano zaidi ya kuwaambia ugua pole.
Hizi ndizo siasa za dunia hii, hao waheshimiwa mwishoni mwa bunge la awamu hii wanaingiziwa milioni 200 kila mmoja, na wanakuja mtaani kukikomba kile kile kidogo cha mtu mwenye pato duni.
Kwani siasa ni maandamano tuu????Wakifanya mnawakamata wakiacha mnawasema,.......
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.
Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.
Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.
ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.
Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.
Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
Hii nayo imewauma hadi mnaanza propaganda ya kuwachonganisha Chadema na wachangiaji wao?
Aki ya nani mtakufa na pressure Kwa kushindana na mkono
Kweli kabisa Chadema wasaka noti tu.Kweli tupu Halima anafoka kwenye familia yenye uwezo mkubwa kiuchumi pia mwenyewe ana ukwasi kifedha akiwa kama mbunge alipaswa awahurumie wananchi wa kawaida kwa kutowabugudhi kwa michango ilenngayo kupunguza uwezo wa walalahoi kujipatia shibe ya kila siku. Tatizo kubwa uongozi wa Chadema pale juu umejaa wasaka noti
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukulazimishwa kuchangia
Ishu hapa si kushindwa kulipa... Ishu hapa ni kutuma ujumbe kwa mamlaka husika kuwa hawa viongozi wana watu wengi sana nyuma yao!!
Social capital ni muhimu sana kuliko financial capital... Nyie wenye hela na madaraka mnatudharau sana sisi tusiokuwa nazo!!
Lakini sisi tuna nguvu ya uwingi... Nguvu ya Umma!!
We utakuwa mchawi. Roho imekuuma sana sisi kuwachangia kina Mbowe na chadema.Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.
Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.
Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.
ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.
Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.
Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
Aliye sema hivyo ni nani?Kwani siasa ni maandamano tuu????
Hawa jamaa walifanya maandamano haramu ambayo yalisabisha polisi kutumia risasi za moto na matokeo yake risasi ikamuua mwanafunzi aliyekuwa kwenye dalala. Post yako ilikuwa "Wakifanya mnawakamata wakiacha mnawasema,.......Aliye sema hivyo ni nani?
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.
Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.
Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.
ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.
Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.
Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
Kwa sababu tumeona kuwa zile fujo zao zilikuwa ni sahihi ili kupata haki.Huu ni ulaghai wa wazi kabisa.
Wamefanya fujo wao,wamehukuwa wao,lakini faini tunalipa sisi walipakodi wanyonge!
Duh[emoji1241]

Vipi kwani unaumia?Huu ni ulaghai wa wazi kabisa.