Halima Mdee punguza ulaghai, unadanganyaje umma kuwa akaunti za benki za wabunge waliofungwa zilikuwa na kiwango chini ya Tsh. Milioni 1?

Mh. Halima Mdee mbunge wa Kawe (CHADEMA) Jjijini Dar es Salaam, aelezea A-Z ya mchezo mchafu wa akaunti kufungiwa mara baada ya hukumu kusomwa


Source: Chadema media TV
 
Hatujawachangia Kwanzaa sababu hawana pesa za kulipa fine... Tumewachangia kwa sababu tumeona hiyo ni hukumu ya kidhalimu, chuki isiyo na chembe ya haki
Wewe uliona wapi hukumu ya miezi 5 unatakiwa kulipa fine ya 70m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonsense
Ulitaka tukuchangie wewe?!
 
Chagua lipi jema na lipi baya katika haya:
1. Akaunti za benki za viongozi wa CDM
kufungiwa.
2. Wananchi kuchangia faini kuwatoa
viongozi gerezani.
3. Wananchi kuwapokea CDM kwa
shangwe.
4. Polisi kuwazuia wananchi kuwapokea na
kuwasindikiza viongozi wa CDM.

Ni hayo tu, lakini yanafikirisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh. Halima Mdee mbunge wa Kawe (CHADEMA) Jjijini Dar es Salaam, aelezea A-Z ya mchezo mchafu wa akaunti kufungiwa mara baada ya hukumu kusomwa


Source: Chadema media TV
Unazidi kukubaliana na ulaghai uliotukuka wa Halima Mdee aliyeamua kutumika na mabeberu pasipo aibu anaichonganisha serikali yetu sikivu na wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muunganiko wa dola kutaka kuumaliza upinzani washindwa na nguvu kubwa, Nguvu ya Umma

 
Yaani wewe maskini na roho yako nyeusi, haujaombwa wewe kuchangia, sisi tumechangia kwa mapenzi yetu, mamilioni yanayoliwa na viongozi wa ccm na serikali huwa hamyaoni eeh ??
 
Wazee wachingia padogo lakini panasaidia kubwa kupatikana

 
Sasa Mbona hujasema wana sh. ngapi kila mmoja kwenye akaunti zao🤷‍♂️

Kumbuka: Ujinga pia ni kipaji kama ilivyo ufupi ama urefu,, keep going!
 


Unajichanganya sana kuna tofauti kati ya mali ulizonazo na pesa iliyo kwenye account yako au hata utajiri wa mtu. Pili account ambayo zimezuiwa ni za Mbowe ambaye hakuna mtu kasema alikuwa hana pesa. Mbowe alikuwa na pesa na ndiyo sababu account yake imezuiwa ili waendelee kubaki jela. Haya ndiyo wanaosema.
 
Waache wawakamue. Wajinga ndio waliwao!
 

Mkuu kama hoja zako ni sahihi kwa nini jiwe kajipendekeza kwenda kumlipia Msigwa?

Msitufanye sote wajinga kiasi hivyo.
 
Waache wawakamue. Wajinga ndio waliwao!

Kama jiwe kuchanganyikiwa 38,000,000/= kama anavyosema. Kuna aliyekamuliwa kuliko huyu?

Mengine pelekeeni nyumbu wenzenu binadamu watakang'amua.
 
Tuambie zilikuwa Na sh ngapi wakati zinafungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…