Halima Mdee punguza ulaghai, unadanganyaje umma kuwa akaunti za benki za wabunge waliofungwa zilikuwa na kiwango chini ya Tsh. Milioni 1?

Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
Umeshachelewa mkuu, hata ungewahi pia hungefanikiwa.
Chadema haikulazimisha mtu kuchangia faini,Bali wananchi kwa umoja wao walitaka uwekwe utaratibu ili wachangie
Tumia akili kidogo ulizobakiziwa na ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
maelezo mengi kumbe umeshindwa kutupa ukweli,haya ndio matokeo ya UPE na shule za vikata,tatizo la watu kusoma bila ya uelewa,SASA WEWE TUAMBIE ACCOUNTS ZAO ZINA KIASI GANI?MAANA INAELEKEA NDIO MHASIBU WAO.mhusika kasema hana ,wewe unatuambia mhusika huyu anasema uongo ,sasa ilitakiwa wewe uje na ukweli hapa sio mada ndefu isiyo jibu swali,kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
 
Hiyo harambee aliitisha nan? Kama ni wenyewe hao basi ni ufisadi mkubwa..., else kama ni wananchi wenyewe walidhamiria sioni shida hapo.
Wewe kweli "kocho" tafuta "shaba" akukune maana si kwa kuwashwa washwa huko.
 
Wengine huwa mnawaza nini ujinga unaoandika lete ushahidi basi kuwa wana pesa nyingi kinyume cha Mdee alivyosema - pumbavu mkubwa.
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
Inaonekana huelewi chochote. Wabunge wengi, wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa na hata mawaziri, wengi wao hawana hela. Wale tunaofahamiana nao, kila siku tunakutana nao, wakiomba kusaidiwa.

Ujue kwa Wabunge, kuna wapiga kura kila siku wapo kwao wakiomba kusaidiwa - ada za wanafunzi, matibabu, kuchangia miradi ya jamii, n.k. Na hata hiyo hela wanayolipwa ni kidogo sana ila sisi kwaajili ya kuuzoea maskini, tunaona ni hela nyingi sana.

Mara kadhaa nimewahi kuwasaidia marafiki zao wenye nafasi hizo, wakiwa wamebanwa kabisa, na hawana chochote.
 
Kama hutaki kulipa si ukae kimya?, Haya tumelipa sisi kinachokuuuma nini? hebu piga chini domo lako hilo halafu nenda kapige mswaki. Tuache sisi tuwatumie hela wakalipe. Halafu watu kama nyie unakuta mna kuwaga na roho mbaya kishenzi....
Huu ni ulaghai wa wazi kabisa.
Wamefanya fujo wao,wamehukuwa wao,lakini faini tunalipa sisi walipakodi wanyonge!

Duh[emoji1241]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
Acha upumbavu,ninyi mlivyowalaghai wananchi ,jumuia za kimataifa,taasisi na Makampuni mbalimbali,wakati wa tetemeko la Ardhi, hizo pesa za michango mlizipeleka wapi?
 
Moja ya njia za kuuaminisha umma kwamba mdee anauongopea umma ni wewe kuja na facts zinazojipambanua ambazo mtu akizisoma ataona kweli mdee anadanganya,huna facts zaidi ya kuongozwa na ushabiki na mawazo yako ambayo yanaweza yasiwe sahihi
 
Watanzania tumekuwa wa ajabu sana.

Wakati wa kufunga ndoa tunachangishana ilihali anayekwenda kuifurahia ndoa ni Bwana harusi, kwa roho Safi tunachanga awe tajiri au masikini

Ukitokea msiba wote tunachanga marehemu apumzishwe kwa amani, tunamchangia tajiri au masiki kwa roho Safi.

Akitokea mtanzania mwenzetu kapata shida ya ugonjwa au Hali duni tunamchangia kwa roho Safi, masikini kwa tajiri wote twatoa kwa roho Safi bila masimango.

Wametokea watanzania kupewa adhabu ya kifungo au fine na Ndugu zao wameamua kuwachangia. Kuna watu wamepata gubu, ghiriba, chuki, husda n.k ukiniuliza kwa nini sipati picha.

Hii chuki ya kutaka wenzetu wapate shida umeanza lini? Na kwa nini tufurahie wenzetu wakipata shida? Tumeanza lini kuwa sadist society?

Tukubaliane kuwa leo ni wao kesho ni wewe.

Ukiwa binadamu hutoacha kufanya makosa hivyo jela yaweza kuwa yako siku yeyote. Utalia na kutoka machozi na makamasi utajisikia vibaya Sana pale ukiona watu wanafurahia wewe kufungwa.

Karma huwa sio nzuri
 
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
Ndugu, una ufahamu wa kina kwa mambo ya "assets & liabilities"? Licha ya mtu kuweza kuwa na ukwasi tele, akaunti yake unaweza kuikuta na fedha kiduchu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tumekuwa wa ajabu sana.

Wakati wa kufunga ndoa tunachangishana ilihali anayekwenda kuifurahia ndoa ni Bwana harusi, kwa roho Safi tunachanga awe tajiri au masikini

Ukitokea msiba wote tunachanga marehemu apumzishwe kwa amani, tunamchangia tajiri au masiki kwa roho Safi.

Akitokea mtanzania mwenzetu kapata shida ya ugonjwa au Hali duni tunamchangia kwa roho Safi, masikini kwa tajiri wote twatoa kwa roho Safi bila masimango.

Wametokea watanzania kupewa adhabu ya kifungo au fine na Ndugu zao wameamua kuwachangia. Kuna watu wamepata gubu, ghiriba, chuki, husda n.k ukiniuliza kwa nini sipati picha.

Hii chuki ya kutaka wenzetu wapate shida umeanza lini? Na kwa nini tufurahie wenzetu wakipata shida? Tumeanza lini kuwa sadist society?

Tukubaliane kuwa leo ni wao kesho ni wewe.

Ukiwa binadamu hutoacha kufanya makosa hivyo jela yaweza kuwa yako siku yeyote. Utalia na kutoka machozi na makamasi utajisikia vibaya Sana pale ukiona watu wanafurahia wewe kufungwa.

Karma huwa sio nzuri
Hukulazimishwa kuchangia
 
Back
Top Bottom