Halima Mdee punguza ulaghai, unadanganyaje umma kuwa akaunti za benki za wabunge waliofungwa zilikuwa na kiwango chini ya Tsh. Milioni 1?

Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!

Kama ww ni mwanaume then tafuta dem mbunge kama ww ni mwanamke basi tafuta mume mbunge ndio utajua maisha ya kipesa ya wabunge watu

It's very possible wote wakawa na under laki moja kwenye account zao!

Halima yuko sahihi kabisa,
Hawa wabunge hawana pesa kama ambavyo watu wengi wanadhania
 
Khaaaaa me hata sijaelewa huyu anazungumzia kitu gani lol, maaana kaandika upupu tyuuh. Mbaya zaidi Hana hata facts juu ya upupu huo uwiiiiiiih, sisi tumechanga na tutazidi kuwa nao bega kwa bega Hadi mwisho wa safariiiiiih. "Pipoooooooooooooooooooooz poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer" kwa sauti ya Halima Mdee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa bahati mbaya umechelewa tumesha changa wala hatuumii
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
Bwashee ulichanga ngapi mpaka rohoo inakuuma hivyo. Kwa hiyo unataka kutwambia watu warudishiwe pesa zao na akina Mdee warudi gerezani. Nia yako hujaeleweka ni nini hasa au ndiye nyie roho kutu hata baba yako kumpa pesa inakuwa shida. Kutoa ni moyo acha uchawi
 
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
Wao hawakuomba michango na hawakuwa na nafasi hiyo, baada tu ya hukumu wananchi na ndugu walianza kujihamasisha wakiiomba Chadema ifungue namba za kukusanyia michango yao ya shilingi elfu moja ambayo ingeweza kufikia kiwango kilichohitajika. Baada ya pesa kupatikana wanaccm wakaanza kujiingiza kwa maneno ya kila aina pamoja na yako! Wanaccm chuki mnayoifanya hata wakoloni walioitawala Tanganyika hawakuwahi kuifanya. Wanaccm nchi mmeifanya kuwa ni yenu namejipa haki miliki na kutumia dola kuwalinda. Mimi sielewi uchungu mnaoupata watuhumiwa wakitoka gerezani ni wanini na wakikaa gerezani mnafaidikaje! Pesa zimechangwa na wananchi wapenda haki na wenye huruma bila kujali itikadi zao na wengine hawana uwezo wa kutoa lakini wamemuomba Mungu afanikishe zoezi.
 
Siku ya siku wananchi waliochanga watakuja kupata kuwa walirusha maji ya mfereji katika bahari. Hao viongozi waliochangiwa wanapata pesa nyingi kutoka kwa mabeberu, ruzuku ya serikali na mishahara pamoja na posho lukuki za kibunge. Wanatembea kwenye magari ya thamani tena wapitapo mitaani wamejifungia na vioo tinted na ac hawatoi lifti. Hawa wabunge hawastahili kuchangiwa ni ulafi wao. CHADEMA wasitumie faini yao kama mtaji wa kukusanya pesa. MUNGU anawaona viongozi wa CHADEMA, acheni ULAGHAI, tuacheni watanzania tushiriki katika kujenga uchumi wa Viwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
In the end the truth will prevail
 
Wewe unamjumisha na Rais aliyechangia kuwatoa! Kweli unahasira na watuhumiwa.
 
Ubongo wa mtoa mada una mafilifili. Tumuache tu kwa kuwa anatumikia waliomlipa.
 
Wewe ni Pimbi kweli kweli, unajuaje kama akaunti zao zina hela??

Nilidhani utakataa kwamba akaunti zao hazikufungwa.

Sawa tumekusikia na tumetambua kwamba wewe una wivu wa kike, na hutaki CHADEMA wawachangie viongozi wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mbona mumemchangia Mashinji na hatusemi. Wewe nani amekuomba uchangie, zungumzia nafsi yako usizungumzie wengine wenye roho tofauti na wewe.
 
Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!

Mkuu ,tuwekee hapa hayo maneno yaliyowalazimisha nyinyi walala hoi muwachangie.
Leta ushahidi wa ulazima huo.
 
Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa
Actually kuwa na pato kubwa (income) haimaaninishi kwamba utakuwa na Savings kubwa pia. Watu wengi wenye vipato vikubwa wapo choka mbaya linapokuja suala la kusave mpunga. Some of them wamezitapanya kwenye matumizi ya "hovyo" (kumaintain status zao) na wengine wameinvest kwenye vitu ambavyo bado havijaanza kuwalipa (ujenzi etc) na kila wanapopata mshahara, wanaishia kulipa marejesho.
 
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
Halima katudanganya sawa, leta ukweli wako kuwa account zao zilikuwa na kiasi gani? Maana hoja hupingwa kwa hoja
 
Kama roho zimewauma kamfungulieni tena kesi ya ulaghai kwa umma, nasi tutamchangia tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom