ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
yeye mwenyewe yuko bungeni kwa sababu ya uwepo wa rushwa na ufisadi nchini. Kama si hivyo asingekuwemo bungeni. Aanze kuondoka yeye!
Jamani watanzania jueni walioiba Mabilioni wamepewa barua za onyo
Hii taarifa ni ya kweli? Walio bainika kuiba Kwa mujibu wa ripoti ya CAG wamechukuliwa hatua Kali sana. Wapo waliohamishwa kutoka wilaya moja kwenda nyingine. Wapo walioshushwa cheo. Wapo waliopelekwa Ukerewe kisiwani uko. Wapo waliopelekwa Ukara. Wapo waliopewa barua za onyo. Naomba...