Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.
"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni wabunge, tumeapa ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"
Pia soma > Nasubiria kuona kama Spika Tulia ataendelea kuwabeba wabunge 19 wasio na chama Bungeni
Wa chama hewa🏃Ni wawakilishi wa chama gani? Anaona hata aibu kukitaja
Kwa hiyo sii has tiwaachie wazee vijisenti sio.Nilisha sema kuingia kwenye siasa ukiwa masikini ni tatizo kubwa sana
Moja ya watu watakao aibika ni Ndugai na MaheraHiyo kauli imefunga mjadala.
Watu wasilazimishe sana hao kina mama wakafunguka maana kuna watu wataaibika.
Mashabiki wa Chadema mkubaliane tu na hali tuendelee na maisha.
Bila kumsahau bwana Mwenyekiti.Moja ya watu watakao aibika ni Ndugai na Mahera
ACHA wajitoe ufaham ipo siku wataburuzwa mahakamani KWa wizi wa fedha za umma,WENDA kipindi hicho anayewakingia kifua atakua hayupoHalima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.
"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni wabunge, tumeapa ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"
Pia soma > Nasubiria kuona kama Spika Tulia ataendelea kuwabeba wabunge 19 wasio na chama Bungeni
Kwa hiyo sii has tiwaachie wazee vijisenti sio.
Hakika ndugu yangu ukichunguza kwa makini hata bosi kuba Mbowe anahusika na wabunge 19 anelewa kila kituWanajuana na Wenye Saccos Yao hao 'Walicheza dili Vizuri' ...!
tumebaki Sie Makabwela Kutwa Kuwachafua kwa Kuwaita Covid 19... Tuna dhambi Sie.!
Katiba nzima inahusikaVifungu?
2025 halafu anataka na 250 M ( KWA MANENO MILIONI MIA MBILI NA HAMSINI TU) shauri ya ujinga wenu usio na maana. roho zinawaumaje- BURE KABISAHuyu dada takataka Sana. Lkn Mungu yupo Ni suala la muda tu
WasalimieKatiba nzima inahusika
ZimefikaWasalimie
Roho inakuuma wewe unayewaza pesa tu.Huna cha maana unachokiwaza cha nchi hii.2025 halafu anataka na 250 M ( KWA MANENO MILIONI MIA MBILI NA HAMSINI TU) shauri ya ujinga wenu usio na maana. roho zinawaumaje- BURE KABISA
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mheshimiwa yupi?
Unamaanisha mzee Halima?
Mambo yameenda kasi sana kwa mzee wetu Halima.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee