Halima Mdee: Sisi ni wawakilishi wa chama na hatukuja Bungeni kwa bahati. Nafasi zetu za Ubunge hazipo hatarini hata kiduchu

Halima Mdee: Sisi ni wawakilishi wa chama na hatukuja Bungeni kwa bahati. Nafasi zetu za Ubunge hazipo hatarini hata kiduchu

Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.

"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni wabunge, tumeapa ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"

Pia soma > Nasubiria kuona kama Spika Tulia ataendelea kuwabeba wabunge 19 wasio na chama Bungeni

Nilisha sema kuingia kwenye siasa ukiwa masikini ni tatizo kubwa sana
 
Hiyo kauli imefunga mjadala.

Watu wasilazimishe sana hao kina mama wakafunguka maana kuna watu wataaibika.

Mashabiki wa Chadema mkubaliane tu na hali tuendelee na maisha.
Moja ya watu watakao aibika ni Ndugai na Mahera
 
Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.

"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni wabunge, tumeapa ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"

Pia soma > Nasubiria kuona kama Spika Tulia ataendelea kuwabeba wabunge 19 wasio na chama Bungeni
ACHA wajitoe ufaham ipo siku wataburuzwa mahakamani KWa wizi wa fedha za umma,WENDA kipindi hicho anayewakingia kifua atakua hayupo
 
Kama wao ni wanachama kweli waende kumuona KM ofisini na tukutane mahakamani kwenye kesi ya Mwenyekiti.
 
Kwa hiyo sii has tiwaachie wazee vijisenti sio.

Yaani kama umeingia kwenye siasa kwasababu ya mshahara na marupurupu ni shida kweli utatumika tu. Fanya shughuli zako ingia kwenye siasa kwa lengo la kusaidia tu! Lakini hii kunuliwa, mara unapewa uwaziri na kufukuzwa bila sababu... mara wengine wamelazimishwa wapeleke wagombea wa spika.... ni shida ya pesa tu. Ni wachache sana wanaweza kuvumilia na kukataa kuhogwa
 
Wanajuana na Wenye Saccos Yao hao 'Walicheza dili Vizuri' ...!
tumebaki Sie Makabwela Kutwa Kuwachafua kwa Kuwaita Covid 19... Tuna dhambi Sie.!
Hakika ndugu yangu ukichunguza kwa makini hata bosi kuba Mbowe anahusika na wabunge 19 anelewa kila kitu
 
Huyu dada takataka Sana. Lkn Mungu yupo Ni suala la muda tu
2025 halafu anataka na 250 M ( KWA MANENO MILIONI MIA MBILI NA HAMSINI TU) shauri ya ujinga wenu usio na maana. roho zinawaumaje- BURE KABISA
 
Kuna Fungu Linalotokana na posho Za Vikao Wanalirudisha Ufipa....Hao Tuwaache tu 'Wanajuana na Wenye Chama'.....!
 
Hayo ni maneno ya kujihami, waseme wanawakilisha chama gani.
 
2025 halafu anataka na 250 M ( KWA MANENO MILIONI MIA MBILI NA HAMSINI TU) shauri ya ujinga wenu usio na maana. roho zinawaumaje- BURE KABISA
Roho inakuuma wewe unayewaza pesa tu.Huna cha maana unachokiwaza cha nchi hii.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom