mkuu wewe ni memba wazamani (kama ni kweli maana inawezekana uchakachuaji hadi membership... ila leo nimeona umekuja vizuri mno... sasa hii pumba ya nini??? akiwa wa kuchaguliwa it means ana-open space kwa mwenzakeHalima Mdee kama lengo ni kwenda bungeni tayari ushapata tiketi kwa viti maalumu. Tunaomba busara itumike, waachie wenzako jimbo. Wape nafasi wenzio.
Halima Mdee kama lengo ni kwenda bungeni tayari ushapata tiketi kwa viti maalumu. Tunaomba busara itumike, waachie wenzako jimbo. Wape nafasi wenzio.
Halima Mdee kama lengo ni kwenda bungeni tayari ushapata tiketi kwa viti maalumu. Tunaomba busara itumike, waachie wenzako jimbo. Wape nafasi wenzio.
Duh! Umenikumbusha mhe. mmoja anagombea urais Zenj :smile-big:jaribuni mwaka ujao,,,sawa sawa?
.Jimbo la Halima Mdee zimemwagwa karandinga za JWTZ kwenye vituo vya kura yani sio mchezo, inatisha! Mjeshi mmoja kanambia eti wameombwa walete vyombo vya kupigia kura!
Halima Mdee kama lengo ni kwenda bungeni tayari ushapata tiketi kwa viti maalumu. Tunaomba busara itumike, waachie wenzako jimbo. Wape nafasi wenzio.
Pole sana wewe kuku unayemuwazia Mwewe mabaya.
Mdee ameshapata kura yangu moja na ya watu wote ninaowajua, kwa hakika atapita kwa kishondo.
As kwa wewe na kibaraka wenu james, jaribuni mwaka ujao,,, sawa sawa? Kiufupi ccm tutawafundisha kuwa na adabu kwa kuchukua majimbo yote ya dar es salaam, tayari tumeshachukua kwa uhakika kawe na ubungo, mengineyo tunasubiri kutangazwa tu......