Elections 2010 Halima Mdee waachie jimbo wenzio!

Mashayo

Member
Joined
May 29, 2007
Posts
22
Reaction score
0
Halima Mdee kama lengo ni kwenda bungeni tayari ushapata tiketi kwa viti maalumu. Tunaomba busara itumike, waachie wenzako jimbo. Wape nafasi wenzio.
 
mkuu wewe ni memba wazamani (kama ni kweli maana inawezekana uchakachuaji hadi membership... ila leo nimeona umekuja vizuri mno... sasa hii pumba ya nini??? akiwa wa kuchaguliwa it means ana-open space kwa mwenzake

angalia mashayo yasije ayakawa majasho
 
Hii thread ya mtu aliyekata tamaa na kuishiwa na point
 
Halima Mdee kama lengo ni kwenda bungeni tayari ushapata tiketi kwa viti maalumu. Tunaomba busara itumike, waachie wenzako jimbo. Wape nafasi wenzio.

Hakuna heshima kubwa kama kwenda bungeni kwa kuchaguliwa na wanachi, utakalolisema bungeni linacount twice tofauti na mbunge wa kuteuliwa
 
Pole sana wewe kuku unayemuwazia Mwewe mabaya.

Mdee ameshapata kura yangu moja na ya watu wote ninaowajua, kwa hakika atapita kwa kishondo.

As kwa wewe na kibaraka wenu james, jaribuni mwaka ujao,,, sawa sawa? Kiufupi ccm tutawafundisha kuwa na adabu kwa kuchukua majimbo yote ya dar es salaam, tayari tumeshachukua kwa uhakika kawe na ubungo, mengineyo tunasubiri kutangazwa tu......
 
Halima Mdee kama lengo ni kwenda bungeni tayari ushapata tiketi kwa viti maalumu. Tunaomba busara itumike, waachie wenzako jimbo. Wape nafasi wenzio.

Achana na mawazo mgando ndugu.
 
Jimbo la Halima Mdee zimemwagwa karandinga za JWTZ kwenye vituo vya kura yani sio mchezo, inatisha! Mjeshi mmoja kanambia eti wameombwa walete vyombo vya kupigia kura!
 
.

Hii kali
 
Hebu jaribu kurudi nyuma hatua chache kisha uanze upya.

Au omba mods wafute thiredi hii kabisaaaaaaa
 
Jamani tuwe waungwana. Halima aendelee na moto wake. Maana kumbuku kulikuwa na kashafa kuwa CHADEMA cha ni ya kifamilia. Leo ameamua kujitosa kutafuta kura huru na jimbo huru mnamwambia aachie. Tunahitaji kumpongeza mwenzetu Halima kwa kusubutu kugombea jimbo hapa DSM nakukubalika kwa kiasi chake. Kila mtu atafute kura zake. :hippie:
 
acha uchaga wako ww, ubinafsi utakuua, mwache mpiganaji mdee
 
halima mdee big up kwa sana. naamini umepigana kiume kabisa, mbona huyu jamaa hawaambii akina Anna sekilango, anne makinda waachie majimbo wasubiri viti maalum?
 
halima umepita dada, huyo mbatia ametuboa, anahojiwa na tirdo anajifanya kukashifu upinzani na dk.slaaaa, sasa slaa tayari ashachukuwa kura zote na kumpa mdeeeeee kwenye:bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl:
 
JK kaua jana jangwani eti kasema wengine wanataka kuingia Ikulu kwa wake wa kuazima. Chadema mnasikitisha yaani huyu demu wa slaa analamba viti maalum wengine waliosotea chama miaka nenda wametupwa nje! Halafu mnadai ni cha cha kizalendo wakati uzalendo ndani ya chama haupo!
 
Halima Mdee kama lengo ni kwenda bungeni tayari ushapata tiketi kwa viti maalumu. Tunaomba busara itumike, waachie wenzako jimbo. Wape nafasi wenzio.

Mama Burhan anayepelekwa puta na kijana Godless Lema kule kwenye jimbo la Arusha Mjini nae alishinda kapu la viti maalum-CCM,mbona humuambii amuachie Lema jimbo?
 
Pole sana wewe kuku unayemuwazia Mwewe mabaya.

Mdee ameshapata kura yangu moja na ya watu wote ninaowajua, kwa hakika atapita kwa kishondo.

As kwa wewe na kibaraka wenu james, jaribuni mwaka ujao,,, sawa sawa? Kiufupi ccm tutawafundisha kuwa na adabu kwa kuchukua majimbo yote ya dar es salaam, tayari tumeshachukua kwa uhakika kawe na ubungo, mengineyo tunasubiri kutangazwa tu......

mgombea wa nccr kawe ni mbumbumbu,kibaraka hawana mana
 
Back
Top Bottom