M mchakachuaji1 Senior Member Joined Nov 4, 2010 Posts 104 Reaction score 7 Nov 12, 2010 #21 masa2009 said: mgombea wa nccr kawe ni mbumbumbu,kibaraka hawana mana Click to expand... Hii safi sana umeshau kusema pia ana njaa.
masa2009 said: mgombea wa nccr kawe ni mbumbumbu,kibaraka hawana mana Click to expand... Hii safi sana umeshau kusema pia ana njaa.
Gwallo JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 3,408 Reaction score 4,392 Nov 12, 2010 #22 Wewe unauliza shuka kumeshakucha, nini kimekupata mpaka uwaze Halima aachie jimbo. Hujajua bado tofauti kati ya kuteua na kuchagua na heshima ya kila kimoja ???????
Wewe unauliza shuka kumeshakucha, nini kimekupata mpaka uwaze Halima aachie jimbo. Hujajua bado tofauti kati ya kuteua na kuchagua na heshima ya kila kimoja ???????
Dijina40 JF-Expert Member Joined May 17, 2010 Posts 727 Reaction score 247 Nov 12, 2010 #23 Kweli nimeanini... "wachokozi chokoziiii!". :smash:
STEIN JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 1,771 Reaction score 553 Nov 12, 2010 #24 Nikisoma post ya mashayo namwelewa kabisa ni mwana NCCR. na unajua kabisa ana lengo moja tu na mbatia. Hakuna kumwachia mtu hapa umegombea ili watu wakukubali kuliko wote si ubaki mwenyewe ili upite kilaini. Peoples power
Nikisoma post ya mashayo namwelewa kabisa ni mwana NCCR. na unajua kabisa ana lengo moja tu na mbatia. Hakuna kumwachia mtu hapa umegombea ili watu wakukubali kuliko wote si ubaki mwenyewe ili upite kilaini. Peoples power
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,240 Nov 12, 2010 #25 Mashayo said: Halima Mdee kama lengo ni kwenda bungeni tayari ushapata tiketi kwa viti maalumu. Tunaomba busara itumike, waachie wenzako jimbo. Wape nafasi wenzio. Click to expand... hahahaha,mbatia bana kubali kushindwa tu jiandae kuzika chama chako
Mashayo said: Halima Mdee kama lengo ni kwenda bungeni tayari ushapata tiketi kwa viti maalumu. Tunaomba busara itumike, waachie wenzako jimbo. Wape nafasi wenzio. Click to expand... hahahaha,mbatia bana kubali kushindwa tu jiandae kuzika chama chako
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,120 Nov 12, 2010 #26 Mashayo said: Halima Mdee kama lengo ni kwenda bungeni tayari ushapata tiketi kwa viti maalumu. Tunaomba busara itumike, waachie wenzako jimbo. Wape nafasi wenzio. Click to expand... Mbatia?
Mashayo said: Halima Mdee kama lengo ni kwenda bungeni tayari ushapata tiketi kwa viti maalumu. Tunaomba busara itumike, waachie wenzako jimbo. Wape nafasi wenzio. Click to expand... Mbatia?