Elections 2010 Halima Mdee waachie jimbo wenzio!

Elections 2010 Halima Mdee waachie jimbo wenzio!

Wewe unauliza shuka kumeshakucha, nini kimekupata mpaka uwaze Halima aachie jimbo. Hujajua bado tofauti kati ya kuteua na kuchagua na heshima ya kila kimoja ???????
 
Nikisoma post ya mashayo namwelewa kabisa ni mwana NCCR. na unajua kabisa ana lengo moja tu na mbatia.

Hakuna kumwachia mtu hapa umegombea ili watu wakukubali kuliko wote si ubaki mwenyewe ili upite kilaini.

Peoples power
 
Halima Mdee kama lengo ni kwenda bungeni tayari ushapata tiketi kwa viti maalumu. Tunaomba busara itumike, waachie wenzako jimbo. Wape nafasi wenzio.

hahahaha,mbatia bana kubali kushindwa tu jiandae kuzika chama chako
 
Back
Top Bottom