Halima Nyanza wa BBC Akimhoji Mohamed Said kuhusu Utumwa na Athari Zake

Halima Nyanza wa BBC Akimhoji Mohamed Said kuhusu Utumwa na Athari Zake

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,526
Reaction score
34,057
Picha hiyo hapo ni kumbukumbu yangu na BBC inayoanza na BBC Glasgow, Scotland mwaka wa 1991

Kiini cha Utumwa kama Dhuluma Kuu
  • "kumchukua mtu ukamteza nguvu ukampeleka mbali na kwao ukwenda kumtumikisha bure dhuluma kubwa kabisa".
  • "Huyu mtu alikuwa na mke saa ingine alikuwa na watoto alikuwa na familia alikuwa mtu na heshima zake yote linakuwa limefutika".
  • "...kuna watu walichukuliwa huku watu wenye elimu zao ni heshima zao wamekwenda kule wamefanywa si lolote si chochote".
Mapambano ya Watumwa Kupata Uhuru
  • "Yule mtumwa anaasi anataka sasa kuchukua uhuru wake kwa nguvu anaamua kupigana Na adhabu yake ilikuwa ni kuuliwa ile ukikamatwa na wanakuua tu".
Madhara ya Utumwa na "Utumwa Mambo Leo"
  • Kuhusu madhara ya kihistoria hadi sasa: Mohamed Said anabainisha kuwa ubaguzi aliofanyiwa James Meredith (aliyebidi asindikizwe na askari kuingia chuo kikuu) unaonyesha kuwa "madhara yake mpaka leo yanaonekana".
  • Kuhusu vikwazo vya kimfumo (akirejea wasifu wa Malcolm X): "...sisi nafasi yetu ilikuwa kwenye ujambazi ndio nafasi ilikuwa haina mpinzani lakini sio mwafrika jiendeleze hapo utakutikana utakutana na vikwazo chungu mzima lukuki vinakusubiri".
  • Kuhusu utumwa mambo leo: Mwanahistoria huyo anaeleza kuwa umaskini unaleta utumwa mpya ambapo "watu wanaona nikatafute fursa ya Ulaya wanazama baharini na huko wakifikwa wanawindwa wanawe kwenye makambi...".
  • Dai la Fidia: "...kama ukumbukwa tulipwe fidia hili ndio la kuzungumza kwa yale ambayo watusababishia".


View: https://youtu.be/WAgJtLVoyNQ?si=Btrtrd7pTIYaaGf1
 
Kuanzia karne ya 7th na takribani kwa karne 13 waarabu waliteka kati ya watu weusi milioni 10 hadi milioni 18 ili kuwauza utumwani maeneo ya uarabuni

Hapo bado walio fanywa utumwa kipindi cha kusambaza uislamu kwa fujo na mauaji

Katika hii hatua walibaka na kulawiti watumwa wa kiume lakini zaidi wali kata maumbile ya kiume watumwa ili wasichanganye rangi kwa kuuzana.

Bahati mbaya tunasoma kuhusu utumwa ule wa north atlantic lakini waarabu ndio walikuwa manguli wa utumwa duniani
 
Kuanzia karne ya 7th na takribani kwa karne 13 waarabu waliteka kati ya watu weusi milioni 10 hadi milioni 18 ili kuwauza utumwani maeneo ya uarabuni

Hapo bado walio fanywa utumwa kipindi cha kusambaza uislamu kwa fujo na mauji

Katika hii hatua walibaka na kulawiti watumwa wa kiume lakini zaidi wali kata maumbile ya kiume watumwa ili wasichanganye rangi kwa kuuzana.

Bahati mbaya tunasoma kuhusu utumwa ule wa north atlantic lakini waarabu ndio wali manguli wa utumwa duniani
Eli...
Hayo si kweli.
 
Na utumwa ndio chanzo cha uislamu bongo.
Wanachukia ukristo na u-magharibi kwa dhati😁 hadi wanasahau kuwa ilibidi babu zao wachapwe mboko wengine kuuliwa ili tu waipookee hio imani iliokuja duniani kwa njia ya vita , mauaji , utumwa na ubakaji.
 
Madhara ya kihistoria hayakuishia huko, bado yanaishi leo kupitia systemic racism na vikwazo vya kimfumo ambavyo vinarudisha nyuma maendeleo ya Waafrika, kama ilivyokuwa kwa akina Malcolm X na James Meredith.
 
Back
Top Bottom