Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Eli...Kuanzia karne ya 7th na takribani kwa karne 13 waarabu waliteka kati ya watu weusi milioni 10 hadi milioni 18 ili kuwauza utumwani maeneo ya uarabuni
Hapo bado walio fanywa utumwa kipindi cha kusambaza uislamu kwa fujo na mauji
Katika hii hatua walibaka na kulawiti watumwa wa kiume lakini zaidi wali kata maumbile ya kiume watumwa ili wasichanganye rangi kwa kuuzana.
Bahati mbaya tunasoma kuhusu utumwa ule wa north atlantic lakini waarabu ndio wali manguli wa utumwa duniani
😁😁 hauwezi kukubali mzee maana waarabu ni wenzako wa imani.Eli...
Hayo si kweli.
Wanachukia ukristo na u-magharibi kwa dhati😁 hadi wanasahau kuwa ilibidi babu zao wachapwe mboko wengine kuuliwa ili tu waipookee hio imani iliokuja duniani kwa njia ya vita , mauaji , utumwa na ubakaji.Na utumwa ndio chanzo cha uislamu bongo.