Mifano iko mingi, najua Chadema unaipenda na Chadema inakupenda pia tatizo ni wewe kujiona unauwezo kukizidi chama, viongozi wako unawaita wahuni?
Jishushe, bado naiona future yako ndani ya Chadema na si kwingineko. Membe, Lowassa, Kinana, Makamba sr, Nyalandu, Sumaye walijaribu kutofautiana na vyama vyao lkn walipogundua makosa yao waliomba msamaha kwa siri au hadharani na wakasamehewa.
Sikushauri uondoke Chadema wala sikushauri uende mahakamani huko utapoteza muda bure elewa chama ni kikubwa kuliko mwanachama, jifunze pia kwa Shonza yuko wapi walionunuliwa na Polepole wako wapi, Slaa yuko wapi.
Omba radhi na uombe uanachama wako upya najua utarudishiwa.