Watumishi wa wilaya ya mbulu wanalalamika sana kutokana na kucheleweshewa mishahara yao/marupurupu yao kwani ndo wilaya ya mwisho kabisa!! Katika wailaya hii watumishi mpaka sasa mshahara wa mwezi jana haujatolewa kwa wahusika,, je mnafikiri watumishi hao watafanya kazi kwa ufanisi kama wanavyotegemea?????
Poleni sana,
Inaonekana mkurugenzi anashughulikia tumbo lake pekeyake nakuwasahau watumishi wa umma.Wilaya hiyo ina vihiyo wengi wamefichwa huko hivyo lazima kazi nyingi zitakuwa za kibabaishaji.Inabidi serikali itupie jicho wilaya hiyo.
Kaka sio huko 2.halmashauri ya chamwino-dodoma mpaka sasa hola,bahi wamepata wiki iliyopita.mi nadhani kuna tatizo zaidi sio bure!may b serikali imefirisika.vuta subra ndugu yangu.