KAMBUNDA
Member
- Jan 2, 2013
- 79
- 8
Watumishi wa wilaya ya mbulu wanalalamika sana kutokana na kucheleweshewa mishahara yao/marupurupu yao kwani ndo wilaya ya mwisho kabisa!! Katika wailaya hii watumishi mpaka sasa mshahara wa mwezi jana haujatolewa kwa wahusika,, je mnafikiri watumishi hao watafanya kazi kwa ufanisi kama wanavyotegemea?????