Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Niko tayari mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko tayari mimi
Kiswahili umejifunza au umezaliwa nacho?Huyo mama la mama ndio mamake nani?
Asante jiraniugeni ni baraka, karibuni sana
Uzwazwa ni kuuliza swali ilhali jibu unalijua.a na b yote sio majibu!
Mkuu akili yako inafanya kazi haraka sana.Hivi mtu ukibadilishwa kutoka hadhi ya binadamu hadi kuwa shetani, utakuwa bado una hamu ya kukaribishana maakuli au vinywaji kweli? Sidhani.
Mshtue mume wetu basiNiko tayari mimi
Asprin ukuje hukuMshtue mume wetu basi
Niandalie ule msuli wa bluu mke wangu
Naam mama...Asprin ukuje huku
Nimeshaamka mke...Mshtue mume wetu basi
We isevu tu ni ya [HASHTAG]#mange kimambi[/HASHTAG] , utampigia siku ikifikaHiyo namba ya simu ya nani?
[emoji81] [emoji81] [emoji81] kaka nilikusubiri sana leo maeneo...Salamu sana wanandugu?
JF ni Jumuiya kubwa sana! JF imekusanya watu wa nasaba mbali mbali! JF imebeba watu wa hadhi na rika mbali mbali! JF imebeba marafiki wa kweli, wa dhati, JF ina mpaka wanandoa wa kweli! JF ina watu wenye mahaba yao, achana na walioweka dhahiri shahiri kama Demiss na Mkuu sana, mtu kweli, mtu mara mbili Mshana Jr yote kwa yote JF ni kiwakilishi kizuri cha Jamii halisi ya Kitanzania.
Napenda kuhoji hapa, nini kimewakuta wanajamii sisi? Kulikoni mpaka sasa hakuna mualiko siriazi wala hakuna alietoa ramani halisi ya kutukaribisha ndugu na jamaa huko kwenye madikodiko, maanjumati, mapilau pilau?
Haiwezekani kuwa eti Majiko ya Wana JF leo hayapikiki? Sio kweli! Haiwezekani wanaJF wote leo mmealikwa, kwamba eti na nyinyi hamuwezi kualika mlikoalikwa! Shabash.... huu ukimya kuna nini huko? Mnakula nini hicho kisichofaa kuliwa na wote?
Humu JF kuna members ambao wao tu ni brand kubwa sana, inatisha kuona siku km ya leo wapo kimya, humu kuna wadada wa heshima kubwa kama Sky Eclat Sakayo Demiss mke wa Mshana Jr geniveros mumu Jolie Jolie NAHUJA Shunie
JF pia ina majembe yake, brand kubwa tu Mshana Jr GENTAMYCINE johnthebaptist Tairi bovu Mwifwa Mwana kondoo Quinine korojani IKIRIRI Erythrocyte MTAZAMO MSELA WA MANZESE Ningewataja wote, ila nina kibarua cha kupokea wageni hapa Kijijini kwangu!
On behalf of myself, pamoja nakusikitishwa na ukimya wenu Pasaka hii, nawakaribisha sana mje tujumuike ama laah, muda ndio huu, kwa heshima na taadhima, tumeni wawakilishi wenu, karibuni kwangu, Tubuyu, kama utapata tabu kufika piga simu 26-999, nitapokea mimi!