Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Dah wife bana... Sawa mamaJaman karibu basi msata kilingeni midaa ya jioniView attachment 731349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah wife bana... Sawa mamaJaman karibu basi msata kilingeni midaa ya jioniView attachment 731349
Sasa tushachelewaNaam mama...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]husband una vituko wewe kumbe ulienda kuchoma looh
hata kunialika udugu wanguSalamu sana wanandugu?
JF ni Jumuiya kubwa sana! JF imekusanya watu wa nasaba mbali mbali! JF imebeba watu wa hadhi na rika mbali mbali! JF imebeba marafiki wa kweli, wa dhati, JF ina mpaka wanandoa wa kweli! JF ina watu wenye mahaba yao, achana na walioweka dhahiri shahiri kama Demiss na Mkuu sana, mtu kweli, mtu mara mbili Mshana Jr yote kwa yote JF ni kiwakilishi kizuri cha Jamii halisi ya Kitanzania.
Napenda kuhoji hapa, nini kimewakuta wanajamii sisi? Kulikoni mpaka sasa hakuna mualiko siriazi wala hakuna alietoa ramani halisi ya kutukaribisha ndugu na jamaa huko kwenye madikodiko, maanjumati, mapilau pilau?
Haiwezekani kuwa eti Majiko ya Wana JF leo hayapikiki? Sio kweli! Haiwezekani wanaJF wote leo mmealikwa, kwamba eti na nyinyi hamuwezi kualika mlikoalikwa! Shabash.... huu ukimya kuna nini huko? Mnakula nini hicho kisichofaa kuliwa na wote?
Humu JF kuna members ambao wao tu ni brand kubwa sana, inatisha kuona siku km ya leo wapo kimya, humu kuna wadada wa heshima kubwa kama Sky Eclat Sakayo Demiss mke wa Mshana Jr geniveros mumu Jolie Jolie NAHUJA Shunie
JF pia ina majembe yake, brand kubwa tu Mshana Jr GENTAMYCINE johnthebaptist Tairi bovu Mwifwa Mwana kondoo Quinine korojani IKIRIRI Erythrocyte MTAZAMO MSELA WA MANZESE Ningewataja wote, ila nina kibarua cha kupokea wageni hapa Kijijini kwangu!
On behalf of myself, pamoja nakusikitishwa na ukimya wenu Pasaka hii, nawakaribisha sana mje tujumuike ama laah, muda ndio huu, kwa heshima na taadhima, tumeni wawakilishi wenu, karibuni kwangu, Tubuyu, kama utapata tabu kufika piga simu 26-999, nitapokea mimi!
😛 😛 😛 😳[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]husband una vituko wewe kumbe ulienda kuchoma looh
Sio kweliAchau funyukuzi wife ameomba ban ili apumzike kidogo
Ila ukweli ni kuwa umemloga?Sio kweli