Hallelujah ya Diamond Platnumz imemfikia Mr Bean

iyo ambayo amekopi? skia original yake hapa. amekopi vile vile
 

we ingia you tube utawapata wengi tu ambao wimbo huo umewafikia, na utashangaa wengine wimbo umewafikia tangia miaka miwili iliyopita. sasa hapo sijui nani kafikiwa kati ya wao na Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…