Hallelujah ya Diamond Platnumz imemfikia Mr Bean

Hallelujah ya Diamond Platnumz imemfikia Mr Bean

iyo ambayo amekopi? skia original yake hapa. amekopi vile vile
 
Nyimbo ya Diamond Platnumz "Hallelujah" imemfikia mchekeshaji maarufu duniani Rowan Atkinson a.k.a Mr Bean.

Tazama / sikiliza remix ya 'Hallelujah' kutoka kwa Diamond Platnumz akimshirikisha Mr Bean.


Download mp3: http://bit.ly/2wx7Ple

Download our app: http://bit.ly/2yojmsf

For more info visit: https://blackmutuvision.blogspot.com/


we ingia you tube utawapata wengi tu ambao wimbo huo umewafikia, na utashangaa wengine wimbo umewafikia tangia miaka miwili iliyopita. sasa hapo sijui nani kafikiwa kati ya wao na Diamond
 
Back
Top Bottom