Hallelujah ya Diamond yaweka rekodi Radio 1Xtra ya UK

GTA

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
878
Reaction score
651
Diamond Platnumz haishi kutuamsha na habari kubwa zinazohusiana na nyimbo zake kila kukicha.

Baada ya kuachia wimbo wake mpya ‘Hallelujah’ ambao amewashirikisha Morgan Heritage kuweka rekodi kubwa ya kufikisha views milioni moja ndani ya masaa 15, wimbo huo umeonekana kufanya vizuri katika kituo cha BBC Radio 1Xtra ya nchini Uingereza.
22279986_130048261077183_1257729895019053056_n.jpg

‘Hallelujah’ umeshika namba moja katika Top 5 ya kipindi cha Afro Boss cha radio hiyo kwa kuzishinda ngoma nyingine kama ‘Inde’ ya Heavy K, ‘Maradona’ ya Niniola, ‘My Baby’ ya Magnom na ‘Nhema’ ya EXQ .

Wimbo huo unaendelea kufanya vizuri nchini humo ikiwemo na kwenye kituo kingine cha Capital Xtra.
Credit - Bongo5
 
huyu diamond ana pesa za masoniki/kishetani.. ananunua viewers mpaka na vituo vya habari huko ughaibuni..
 
Hongera zake......by the way amelipwa√√√
 
Record gani sasa iyo. Hujui hta maana ya record. Kavunja record gani hapo. Je kapewa Guinness world record?
 
record sio lazima iwekwe huko guinness,,Hata ukiwa mpunga/mchele mchele kwenye familia yako bila tukio hilo kutokea kabla hiyo ni record.. ovaaaaaa
 
Hakuna record hapo maana hata kabla ya yeye.walikuwepo wenzake ambao walitrend na ataondoka watakuja wengine.
 
umepuliza moshi gani??Je kwa Tanzania kuna-artist alishavunja hiyo record.. au kiba..record nyingine tunaangalia geographical region
 
Back
Top Bottom