Hallow!

Hallow!

MASIGUGWA

New Member
Joined
Feb 16, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Halow jamii forums members,
Nina mchumba wangu ambaye kiukweli namfeel sana,ila tumekuwa tukipishana sana kwenye suala zima la starehe particularly clubing...anapenda sana kwenda club every weekend,na pombe sana....nikimuoa huyu si ndio nitakua nitakua bushoke??!! nini maoni yako!?
 
Samahani. mara ya kwanza mlikutana naye wapi? umejuaje kama anaenda club kama sio mwaenda wote ?
 
uzuri ni kwamba ameonyesha tangu awali kwamba anapenda club, so either usuke au unyoe
 
Hongera kwa kuwa na mchumba! Jaribu Kuongea naye muwekane sawa.
 
Back
Top Bottom