HALLOWEEN: bONGO bANA

HALLOWEEN: bONGO bANA

te te te te, ha ha

au ni ku pm yake uweke au nimebadili mawazo nikutumie yake hapa uweke?

Ya mama yake itakuwa safi mpwa si unajua mama afrika tena?
 
Ya mama yake itakuwa safi mpwa si unajua mama afrika tena?

ha ha ha mpwa da! nitafungiwa na Pain Killer siunajua wataniuliza nimepata picha yake?
 
ha ha ha mpwa da! nitafungiwa na Pain Killer siunajua wataniuliza nimepata picha yake?

Kweli mpwa na jamaa wanahamu ya kuban mtu maana nikitambo hwajafanya hilo zoezi
 
Kweli mpwa na jamaa wanahamu ya kuban mtu maana nikitambo hwajafanya hilo zoezi

Na tunapigwa VITA sana siku hizi kila kona wachache wanatuchukia wengi wanatupenda.
 
Afu huko halloween si mnaifanya laivu. Mtu kuchuna ngozi ya mtu au kuua albino si halloween ya kweli.
 
Mkubwa,Haloween ni kitu gani?,ndo wengine tuchangiage
 
Back
Top Bottom