NGULI JF-Expert Member Joined Mar 31, 2008 Posts 4,801 Reaction score 643 Nov 4, 2009 #21 Burn said: Ni Piemu ya mama yako niweke, si mtanzania? Click to expand... te te te te, ha ha au ni ku pm yake uweke au nimebadili mawazo nikutumie yake hapa uweke?
Burn said: Ni Piemu ya mama yako niweke, si mtanzania? Click to expand... te te te te, ha ha au ni ku pm yake uweke au nimebadili mawazo nikutumie yake hapa uweke?
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,553 Reaction score 2,380 Nov 4, 2009 Thread starter #22 Nguli said: te te te te, ha ha au ni ku pm yake uweke au nimebadili mawazo nikutumie yake hapa uweke? Click to expand... Ya mama yake itakuwa safi mpwa si unajua mama afrika tena?
Nguli said: te te te te, ha ha au ni ku pm yake uweke au nimebadili mawazo nikutumie yake hapa uweke? Click to expand... Ya mama yake itakuwa safi mpwa si unajua mama afrika tena?
NGULI JF-Expert Member Joined Mar 31, 2008 Posts 4,801 Reaction score 643 Nov 4, 2009 #23 Burn said: Ya mama yake itakuwa safi mpwa si unajua mama afrika tena? Click to expand... ha ha ha mpwa da! nitafungiwa na Pain Killer siunajua wataniuliza nimepata picha yake?
Burn said: Ya mama yake itakuwa safi mpwa si unajua mama afrika tena? Click to expand... ha ha ha mpwa da! nitafungiwa na Pain Killer siunajua wataniuliza nimepata picha yake?
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,553 Reaction score 2,380 Nov 4, 2009 Thread starter #24 Nguli said: ha ha ha mpwa da! nitafungiwa na Pain Killer siunajua wataniuliza nimepata picha yake? Click to expand... Kweli mpwa na jamaa wanahamu ya kuban mtu maana nikitambo hwajafanya hilo zoezi
Nguli said: ha ha ha mpwa da! nitafungiwa na Pain Killer siunajua wataniuliza nimepata picha yake? Click to expand... Kweli mpwa na jamaa wanahamu ya kuban mtu maana nikitambo hwajafanya hilo zoezi
NGULI JF-Expert Member Joined Mar 31, 2008 Posts 4,801 Reaction score 643 Nov 4, 2009 #25 Burn said: Kweli mpwa na jamaa wanahamu ya kuban mtu maana nikitambo hwajafanya hilo zoezi Click to expand... Na tunapigwa VITA sana siku hizi kila kona wachache wanatuchukia wengi wanatupenda.
Burn said: Kweli mpwa na jamaa wanahamu ya kuban mtu maana nikitambo hwajafanya hilo zoezi Click to expand... Na tunapigwa VITA sana siku hizi kila kona wachache wanatuchukia wengi wanatupenda.
Zakumi JF-Expert Member Joined Sep 24, 2008 Posts 5,063 Reaction score 2,478 Nov 4, 2009 #26 Afu huko halloween si mnaifanya laivu. Mtu kuchuna ngozi ya mtu au kuua albino si halloween ya kweli.
Afu huko halloween si mnaifanya laivu. Mtu kuchuna ngozi ya mtu au kuua albino si halloween ya kweli.
Iza JF-Expert Member Joined Jan 8, 2009 Posts 2,045 Reaction score 643 Nov 9, 2009 #27 Mkubwa,Haloween ni kitu gani?,ndo wengine tuchangiage