Halmashauri jiji la mwanza.

Halmashauri jiji la mwanza.

JOSEDIZOZ

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
134
Reaction score
30
hv mwalimu kupanda daraja mpaka awapigie magoti?hamjui wajibu wenu?alafu mtu kapanda daraja 2010 leo 2012 ndo afisa elim anataka takwim za waliopanda daraja 2010 lkn mishahara haikubadilika waorozeshwe.NDO MAANA WALIMU WAMEAMUA KUFUNDISHA KULINGANA NA KIPATO CHAO(FUNDISHA KULINGANA NA MSHAHARA)mnafanya nn ofisini si muache kazi km hamuwezi.
 
Chezea jiji la Mwanza wewe, kuanzia mkurugenzi hadi mtu wa masijala wote wapo kipesa zaidi! Chukua mshahara wako mpe afisa utumishi kitu kidogo uone kama mwisho wa hutakuta nyongeza!
 
Ualimu ni wito.na nyie mnataka mlipwe pesa nyingi ili mpeleke wapi?
 
Back
Top Bottom