Halmashauri-Kilindi yamhonga kiongozi wa CWT asiwatetee walimu katika haki zao.Ushahidi upo usio na shaka.

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,292
Reaction score
1,867
Habari za muda huu.

Nchi yetu imefikia hatua mbaya sana katika haki za watumishi.Jambo hilo limethibitika baada ya Halmashauri-Kilindi kuhonga baadhi ya viongozi wa CWT Kilindi Ili wasiwatetee walimu katika madai Yao ikiwemo madai ya uhamisho.

Hongo hiyo ni pamoja na kuwalipa pesa zote za uhamisho viongozi wa CWT ambao anahamishwa zaidi ya mara nne kutoka kituo kimoja kwenda kingine na kupewa uratibuAEK.Wanachama yaani walimu waliohamishwa wanalipwa kati ya 200000-300000 Kila awamu ya malipo.

Walimu ambao wanapaza sauti kudai madai wanatengwa katika malipo na kupandikizwa majina mabaya ya ukorofi.Kwa mantiki hii TAKUKURU tunaomba iingilie kati kuchunguza hili ikiwemo kuchunguza pia suala la kuwazuia walimu wasihame chama na kwenda vyama vingine.

Tunamtegemea mungu na viongozi wa serikali wapenda haki watutetee katika hili.
 
Hii kada ndio inayo nyanyasika zaidi kwenye nchi ya malawi aiseee
 
Yani kuwatetea walimu ni kazi sana..nikikumbuka mnavyotiki na kushiriki kuiba kula..acheni yawakute tuu kwakweli..
 
Back
Top Bottom