GE2025 Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es salaam imemteua Shetta kugombea Udiwani Kata ya Mchikichi

GE2025 Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es salaam imemteua Shetta kugombea Udiwani Kata ya Mchikichi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es salaam imemteua Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya na Mwanachama wa Chama hicho, Nurdin Bilal Juma (Shetta) kugombea Udiwani Kata ya Mchikichini Wilaya ya Ilala

Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Ally Bananga, ametangaza uteuzi huo leo August 14, baada ya kukamilika kwa Mchakato wa Kura za maoni

Itakumbukwa katika Mchakato wa kura za maoni uliofanyika August 04,2025 ukihusisha Wagombea mbalimbali, Shetta aliwazidi Wapinzani wake kwa kupata jumla ya kura 293 ambapo Azimkhan Akber Azmkhan akipata kura 178 na Joseph John Ngowa akipata kura 7 pekee

1755180750451.png


Chanzo: Millard Ayo
 
Mungu atuepushie Manara, sura zetu sijui tutaziweka wapi sisi, Zungu alivyo na muhali yule.
 
Haji Sunday Manara
Adrian Kitwana Kondo
Omary Said Kumbilamoto

Bado keki ya taifa inaendelea kuliwa na wale wale...
 
Back
Top Bottom