Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Vinginevyo ni shujaa ma mpambanaji mzuri kama Magufuli, ila Magufu amemzidi Lissu ki maarifa mapana ya ki science na upendo wa kweli kwa bidam wenzake
Unaanza kukera sasa, Jiwe ni muuaji1 unasemaje anapenda watu? Kumbe wewe ni praise team with no iota of comon sense maana mambo mengine kuyaona hayahitaji shule it ia a matter of common sense....
 
Waondoke CCM ndo wataelewa why no body can stop reggae
Fine, nikuulize kidogo, je CCM ikiondolewa madarakani, akina Kinana &Co.Ltd wakiondoka "nobody can stop reggae is it going to make sense anymore?
 
Kwakweli sioni chochote ambacho Kinana, Makamba na Membe watapoteza wakiamua kutokwenda huko Kamati ya Maadili, zaidi wao ndio watakuwa wamepata faida sana kwa kuachana na CCM..
CCM ni kusanyiko la Binadamu WAPUMBAVU.

Naunga mkono hoja.
P
 
They have business and among their customers are CCM bosses!
Looks you well conversant with their day to day life! This translates kuwa kama siyo biashara zao, CCM is nothing to them! wako pale kwa maslahi, siyo kwa vile wanaipenda CCM
 
Watapoteza heshima waliyojijengea kwa sehemu kubwa ya maisha yao.
Wanatakiwa wawathibitishie wanaowaita kuwa wao wako sahihi kwa hoja au wakiri kupotoka.
Siasa huwa zina unafiki na nyakati hizi hazina misimamo ila uchumia tumbo zaidi.
Viongozi wasio na msimamo hawafai kwa jamii (Magufuli anapata asilimia kubwa kwa hili).
Hakuna utumwa mbaya duniani kama ule wa fikra (lazima usimamie unachokiamini kwa kutumia akili hadi mwisho wako).
 
Kama wanajiamini kikamilifu kabisa hawajawahi hata kidogo kuihujumu Nchi kwa namna yoyote ile, hata wasipokwenda hakuna shida sana, lakini kama waliihujumu kwa namna yoyote ile, ni vema wakaenda na wawe wanyenyekevu.
Sasa wakati umefika, hakuna jiwe juu ya jiwe litakaloachwa salama.
Hata kama utakuwa na pembe kali kiasi gani, chini ya Mh. JPJM pembe zako zitapigwa CHAIN SAW kisha utashikishwa adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sema hata kubambikiwa kesi za ajabu ajabu, uonevu wa Jiwe
 
Hii michango ya watu humu inaonesha ukiitwa huko ni kama siku ya hukumu mbele ya mwenye enzi. Watu wanakuwa wana data zako zote unatokea wapi.

Uchaguzi unabaki kusema nilighafirika makosa hufanywa na binadamu au kunyamaa mwanzo mwisho waamue watakavyo.

Vinginevyo uwe na uwezo wa kuaminisha wahojaji kuwa ulichosema au fanya ni kitu safi kabisa na hakiharibu maslahi ya kitu chochote au mtu yeyote.

Muda utazungumza hapa. Tusubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom