Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Nini cha kupoteza? Makamba anataka kugombea ubunge via ccm?We haujui Siasa ndio maana unaongea hivyo, so kaa kimya, they have a lot to lose than you think!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini cha kupoteza? Makamba anataka kugombea ubunge via ccm?We haujui Siasa ndio maana unaongea hivyo, so kaa kimya, they have a lot to lose than you think!!
Hata yeye anaweza kuitwa baadae, ni issue ya kuja kichaa mmoja tu akachukua madaraka ya ofisi kubwa kuliko zote hapa nchini danganyika, na akafanya anavyotaka.u
kabisa,
uko sahihi,na hii imesaidia sana kuondoa umimi,ujuaji na kujinafasi
as long as hakuna atakayemwita jpm huko mbeleni,mwache awnyooshe hawa watu
heshima iwepo
"Uchwara" kwasababu anaufanya huo ndani ya sheria ambayo aliiapia na wote tunaliona kosa na Mungu pia. Kutofuata sheria kumetamalakiUshahidi unaopatikana kwa kuvunja sheria, siyo ushahidi halali.
Ukija kwangu ukafunga vinasa sauti kwa siri halafu ukanisikia namteta Magufuli hulu. nikiwa na mke wangu huwezi kunipeleka kikao cha maadili cha chama kwa ushahidi huo
If you become a “cheap copy” of someone else be prepared to be treated as such. Consumed quickly and quickly discarded. Be the best version of YOU, and those invested in you, will love you for life.
If you become a “cheap copy” of someone else be prepared to be treated as such. Consumed quickly and quickly discarded. Be the best version of YOU, and those invested in you, will love you for life.
Ngoja tuone
Kumbe ni hivoooooHata kinana na makamba watakuwa wamejizalilisha. Ila watakwenda lazima kwa sababu wana makando kando mengi mabegani mwao. Ngao yao ni uanachama wao wa sisihem, wakikosea step chama kikawafukuza basi hata maisha yao haya ya uzeeni yanaweza kugeuka na kuwa magumu sana tofauti na wanavyowaza.
CCM kuna vingi ndio maana Lowassa amerudi tofauti na hapo Ufipa chama kizima mnategemea ruzuku ya kila mwezi ya serikali.Nyerere alisema CCM siyo mama yangu! Mkiamua kuwa na ujasiri wa Nyerere mkatamka hivyo na mkafukuzwa (ingawa Nyerere hakufukuzwa) uanachama, mtapoteza nini la maana katika Dunia hii? What significant loss do you stand to suffer in these few remaining years of life on earth?
Lipi linawajengea heshima kati ya kuitwa kama mbwa na kufukuzwa kishujaa?
Twende kanisani na msikitini tusali, ya dunia na CCM tuwaachie Bashiru, Polepole na Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app