KERO Halmashauri Mbeya Jiji, ni nani anayegawa namba za Watumishi kwa wakopeshaji?

KERO Halmashauri Mbeya Jiji, ni nani anayegawa namba za Watumishi kwa wakopeshaji?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Strong

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
584
Reaction score
560
Tumechoka jamani, imefika muda sasa tupumzishwe, kila siku tunapigiwa simu, tupo katikati ya majukumu ya kazi tunasitisha kupokea simu, mtu anajitambulisha oooh sijui Barclays, sijui Fanikiwa, sijui nani. Meseji muda wote, tupo kwenye vikao, simu tunaomba anayefanya hivi aache.

Tuitafute mikopo kwa akili zetu na siyo kulazimishwa. Ipo siku atatoa check namba zetu, tutakuta mikopo imekopwa ESS.
 
Tumechoka jamani imefika muda sasa tupumzishwe kila siku tunapigiwa simu tupo katikati ya majukumu ya kazi tunasitisha kupokea simu mtu anajitambulisha oooh sijui barclays, sijui fanikiwa sijui nani mamesejei masaa yote tupo kwenye vikao simu tunaomba anaefanya hivi aache tuitafute mikopo kwa akili zetu na sio kulazimishwa ipo siku atatoa chek namba zetu tutakuta mikopo imekopwa ESS
Afisa tawala wa mkoa
 
Back
Top Bottom