KERO Halmashauri Mbeya Jiji, ni nani anayegawa namba za Watumishi kwa wakopeshaji?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Strong

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
584
Reaction score
560
Tumechoka jamani, imefika muda sasa tupumzishwe, kila siku tunapigiwa simu, tupo katikati ya majukumu ya kazi tunasitisha kupokea simu, mtu anajitambulisha oooh sijui Barclays, sijui Fanikiwa, sijui nani. Meseji muda wote, tupo kwenye vikao, simu tunaomba anayefanya hivi aache.

Tuitafute mikopo kwa akili zetu na siyo kulazimishwa. Ipo siku atatoa check namba zetu, tutakuta mikopo imekopwa ESS.
 
Afisa tawala wa mkoa
 
Ni ujinga tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…