MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 405
- 279
Nawasalimu kwa jina la BRN....moja kati ya halmashauri ya kiuni ni hii ya Mkuranga..kulikuwa na semina ya walimu iliyokuwa chini ya British council but dakika za mwisho wajanja wamepiga ela na kupeleka mavitabu ya baseline mashuleni bila mwongozo wowote..
Dah hawa watu hawana huruma matonge yote wanakula wao.
Dah hawa watu hawana huruma matonge yote wanakula wao.