Tibalikwenda
JF-Expert Member
- Aug 27, 2020
- 284
- 604
Acha uhuni, ulikusanya mil na laki tano. Ni fedha za serikali huwa zinaingia kwenye akaunti ya serikali. Kama zilitumika wewe unahusika vipi? Kuna viashiria ulikuwa unatoa control namba lakini hutoi risiti za serikali. Kaa mkao wa kupigwa mvua.Mi ni afisa wa serikali wilaya x nililipa pesa mbichi kwa watumishi 3 baada ya kukusanya Mapato ya minada ya mifugo wilaya x jumla y fedha tsh.2,500,000/: ninadaiwa kwenye poss machine yangu mm nimekataa kuzilipa Mana zimetumika kwa idhini ya mkurugenzi sasa nimeamriwa na pccb nilipe la sivyo nipelekwe mahakamani kwa kosa la kutumia fedha ya serikali sasa naombeni ushauri wenu je Hawa pccb nitawashinda mahakaman au watanishinda?
Mi ni afisa wa serikali wilaya x nililipa pesa mbichi kwa watumishi 3 baada ya kukusanya Mapato ya minada ya mifugo wilaya x jumla y fedha tsh.2,500,000/: ninadaiwa kwenye poss machine yangu mm nimekataa kuzilipa Mana zimetumika kwa idhini ya mkurugenzi sasa nimeamriwa na pccb nilipe la sivyo nipelekwe mahakamani kwa kosa la kutumia fedha ya serikali sasa naombeni ushauri wenu je Hawa pccb nitawashinda mahakaman au watanishinda?
acha usanii sasa ulilipaje pesa za serekali kwa watumishiMi ni afisa wa serikali wilaya x nililipa pesa mbichi kwa watumishi 3 baada ya kukusanya Mapato ya minada ya mifugo wilaya x jumla y fedha tsh.2,500,000/: ninadaiwa kwenye poss machine yangu mm nimekataa kuzilipa Mana zimetumika kwa idhini ya mkurugenzi sasa nimeamriwa na pccb nilipe la sivyo nipelekwe mahakamani kwa kosa la kutumia fedha ya serikali sasa naombeni ushauri wenu je Hawa pccb nitawashinda mahakaman au watanishinda?
Nilikua nawalipa kwa kazi ya kukusanya ushuru mnadani ni watumishi waliokua wanalinda mnada ili mifugo inayonunuliwa isitoroshwe na wafugaj wasiopenda kulipia ushuru pindi wanaponunua mifugo mnadani ,,,hivyo pesa hizo zilitumika kwa matumizi hayo ya ulinzi na chakula kwa watumishi hao.acha usanii sasa ulilipaje pesa za serekali kwa watumishi
hapo kuna harufu ya rushwa,
sasa si ulitakiwa uoneshe risit kwamba ulilipaNilikua nawalipa kwa kazi ya kukusanya ushuru mnadani ni watumishi waliokua wanalinda mnada ili mifugo inayonunuliwa isitoroshwe na wafugaj wasiopenda kulipia ushuru pindi wanaponunua mifugo mnadani ,,,hivyo pesa hizo zilitumika kwa matumizi hayo ya ulinzi na chakula kwa watumishi hao.
Pole Sana mtendaji wa Kijiji,Ila nanyi mnachamgamoto ya ulaji wa pesa za gvt,lipa hiyo pesa,Kuna mwenzako huku kala milioni tatu ya vitambulisho vya ujasiriamali,sasa hivi tumbo joto.Mi ni afisa wa serikali wilaya x nililipa pesa mbichi kwa watumishi 3 baada ya kukusanya Mapato ya minada ya mifugo wilaya x jumla y fedha tsh.2,500,000/: ninadaiwa kwenye poss machine yangu mm nimekataa kuzilipa Mana zimetumika kwa idhini ya mkurugenzi sasa nimeamriwa na pccb nilipe la sivyo nipelekwe mahakamani kwa kosa la kutumia fedha ya serikali sasa naombeni ushauri wenu je Hawa pccb nitawashinda mahakaman au watanishinda?
Ushuru wa mnadani unakusanywa na afisa mifugo na siyo mtendaj Mkuu, mi ni afisa mifugo.Pole Sana mtendaji wa Kijiji,Ila nanyi mnachamgamoto ya ulaji wa pesa za gvt
Nilikua nawalipa kwa kuwa sign Sha kwenye karatasi baada ya kaz ya kunisaidia kulinda mnada mifugo isitoroshwe.sasa si ulitakiwa uoneshe risit kwamba ulilipa
Usiogope kwa sababu kesi ipo pccp ugopa Kama ulikula kweli hiyo pesa? Kwenye ulimwengu sheria au sanaa ya sheria kitu kikubwa ni evidence hivyo basi kama unadoc zinazoonesha kuwa ulilipa watu lkn ulikuwa moral kuwalipa hata Kama taratibu ulizikiuka ziandae tu for more assistance nitafuteNilikua nawalipa kwa kuwa sign Sha kwenye karatasi baada ya kaz ya kunisaidia kulinda mnada mifugo isitoroshwe.
Afisa mifugo.Sasa wewe ni afisa mifugo au mhasibu?
Naomba unisaidie nikusaidie,Ushuru wa mnadani unakusanywa na afisa mifugo na siyo mtendaj Mkuu, mi ni afisa mifugo.
Unawalipaje watumishi hawana mshahara ?,hela mbichi ni IPI hiyoNilikua nawalipa kwa kazi ya kukusanya ushuru mnadani ni watumishi waliokua wanalinda mnada ili mifugo inayonunuliwa isitoroshwe na wafugaj wasiopenda kulipia ushuru pindi wanaponunua mifugo mnadani ,,,hivyo pesa hizo zilitumika kwa matumizi hayo ya ulinzi na chakula kwa watumishi hao.
Sikupewa maandishi yoyote ila alikua anajua kuwa nawalipa hao wasaidizi wangu , mwishoni Ali sign dokezo nilipwe hiyo fedha ili nifute deni ila sikulipwa.Naomba unisaidie nikusaidie,
Je, hiyo idhini ya Mkurugenzi ipo au umeipoteza?
Copy ya dokezo ya malipo ninayo ila mpaka sasa sijalipwa.Sikupewa maandishi yoyote ila alikua anajua kuwa nawalipa hao wasaidizi wangu , mwishoni Ali sign dokezo nilipwe hiyo fedha ili nifute deni ila sikulipwa.