Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,204
- 15,207
Sasa Mkuu, aliyekushtaki wewe ni nani? Maana kwa muktadha huo anayetakiwa kulalamika ni Mkurugenzi wako.
Kama Mkurugenzi alikuruhusu, muambie akutengenezee barua kukuidhinisha uwalipe hao walinzi.
Mpaka sasa ilipofikia, umewahi kukutanishwa na Mkurugenzi atoe maelezo kama alikuidhinisha?
Kama bado, ndugu tambua ya kuwa Mkurugenzi amekutema. Na kitakachokuokoa ni kulipa hela za serikali.