Halmashauri wanataka kunipeleka mahakamani Naomba ushauri wa kisheria

Sasa Mkuu, aliyekushtaki wewe ni nani? Maana kwa muktadha huo anayetakiwa kulalamika ni Mkurugenzi wako.

Kama Mkurugenzi alikuruhusu, muambie akutengenezee barua kukuidhinisha uwalipe hao walinzi.

Mpaka sasa ilipofikia, umewahi kukutanishwa na Mkurugenzi atoe maelezo kama alikuidhinisha?

Kama bado, ndugu tambua ya kuwa Mkurugenzi amekutema. Na kitakachokuokoa ni kulipa hela za serikali.
 
Hela ya poss hailiwi. Hukabidhiwa kwa mhasibu. Kama kuna malipo yeyote mhasibu ndiye hufanya malipo na siyo vinginevyo.

Kwenye halmashauri usiwe unakubali kutenda jambo lisilokuhusu.

Hakikisha hesabu ya poss inalingana na cash unayokabidhi.

Kumbuka halmashauri ni local government and things are done locally
 
Kusanya pesa ya serikali na kudeposit kwenye account husika ,matumizi kulingana na budget yatraendelea baada ya vibali kutoka kwa wahusika short of that nvua kaka
 
Sasa Mkuu, aliyekushtaki wewe ni nani? Maana kwa muktadha huo anayetakiwa kulalamika ni Mkurugenzi wako.

Kama Mkurugenzi alikuruhusu, muambie akutengenezee barua kukuidhinisha uwalipe hao walinzi.

Mpaka sasa ilipofikia, umewahi kukutanishwa na Mkurugenzi atoe maelezo kama alikuidhinisha?

Kama bado, ndugu tambua ya kuwa Mkurugenzi amekutema. Na kitakachokuokoa ni kulipa hela za serikali.
Kweli Mkuu, nikama nimeliwa kichwa Mana Nami nahis hivyo ndo napambana kulipa Hilo Deni kwa sasa ila nimekuwa disappointed Sana.
 
Kusanya pesa ya serikali na kudeposit kwenye account husika ,matumizi kulingana na budget yatraendelea baada ya vibali kutoka kwa wahusika short of that nvua kaka
Nilisha kabidhi poss sikusanyi fedha hizo Tena kwa sasa Niko masomoni, ila ndo nasumbuliwa nilipe.
 
Acha uhuni, ulikusanya mil na laki tano. Ni fedha za serikali huwa zinaingia kwenye akaunti ya serikali. Kama zilitumika wewe unahusika vipi? Kuna viashiria ulikuwa unatoa control namba lakini hutoi risiti za serikali. Kaa mkao wa kupigwa mvua.
Kitaaluma yeye ni mhasibu? Kama jibu hapana mkurugenzi aende mahakamani wakakutane huko
 
Alaf hawa wakurugenzi izo pesa sijui uwa wanazitumia ivo kwa maana ya upigaji au sijui ni nini kinakua kinaendelea.. maana niliwah kuona na huku nilipo.. hali kama hiyo iliyomtokea jamaaa
 
hapo kuna ukakasi...je wewe ndio ulie waajili hao wasaidizi ulio walipa iko kiasi...na je mamlaka ya kuwa malipo ulipewa wewe kweli...?
 
Sasa Mkuu, aliyekushtaki wewe ni nani? Maana kwa muktadha huo anayetakiwa kulalamika ni Mkurugenzi wako.

Kama Mkurugenzi alikuruhusu, muambie akutengenezee barua kukuidhinisha uwalipe hao walinzi.

Mpaka sasa ilipofikia, umewahi kukutanishwa na Mkurugenzi atoe maelezo kama alikuidhinisha?

Kama bado, ndugu tambua ya kuwa Mkurugenzi amekutema. Na kitakachokuokoa ni kulipa hela za serikali.

Huyu alikubali kufanya malipo hayo yeye kwakua kulikua na mwanya wa yeye pia kupata hela kdg hapo, namshauri alipe hiyo hela kufuta hiyo hoja kisha mambo mengine apambane kiofisi
 
Alaf hawa wakurugenzi izo pesa sijui uwa wanazitumia ivo kwa maana ya upigaji au sijui ni nini kinakua kinaendelea.. maana niliwah kuona na huku nilipo.. hali kama hiyo iliyomtokea jamaaa
Ujue kutoa fedha za serikali Kuna kua na mlolongo hivi sasa inaweza tokea dharula weekend labda mtumish wa serikali kapata msiba na inahitajika fedha kumsafirisha mfiwa labda laki 9 sasa ndo unakuta wanalazimika kuchua fedha ambayo haija benkiwa na kuitumia ambapo kwa mujibu wa waziri Ummy ni kosa kutumia fedha mbichi za serikali
 
Huyu alikubali kufanya malipo hayo yeye kwakua kulikua na mwanya wa yeye pia kupata hela kdg hapo, namshauri alipe hiyo hela kufuta hiyo hoja kisha mambo mengine apambane kiofisi
Hiyo ni kaz ambayo Ina malipo yake nje ya salary na Mimi binafsi nilikua nalipwa kwa namna hiyo na nilikua nastahili kulipwa kwa kazi hiyo.
 
Back
Top Bottom