A
TWALBU ni chama gani?Tunaomba mtusaidie huku halmashauri ya Busega ajira mpya wanakata vyama viwili (Tuge na Twalbu) kwa pamoja bila kutoa maelekezo yoyote, mimi nipo Kada ya Afya.
Na pesa za kujikimu pia changamoto toka Mwezi wa 9, 2025 wakati halmashauri zingine wamepata.
Hata hyo tugeTWALBU ni chama gani?
nilitaka kuuliza Pia hiyo tuge kama ningejibiwa talbwuHata hyo tuge
Au alimanisha TUGHE?
naona hata mfanyakazi na yeye ndo bure kabisa
Hii mpya kumbe kuna chama kipya kinaitwa TwalbuTunaomba mtusaidie huku halmashauri ya Busega ajira mpya wanakata vyama viwili (Tuge na Twalbu) kwa pamoja bila kutoa maelekezo yoyote, mimi nipo Kada ya Afya.
Na pesa za kujikimu pia changamoto toka Mwezi wa 9, 2025 wakati halmashauri zingine wamepata.
Hata hyo tuge
Au alimanisha TUGHE?
naona hata mfanyakazi na yeye ndo bure kabisa
Ma HR wilayani wamelala au wanapuuzia kama kawaida yaoTunaomba mtusaidie huku halmashauri ya Busega ajira mpya wanakata vyama viwili (Tuge na Twalbu) kwa pamoja bila kutoa maelekezo yoyote, mimi nipo Kada ya Afya.
Na pesa za kujikimu pia changamoto toka Mwezi wa 9, 2025 wakati halmashauri zingine wamepata.
Akikusikiaaa?Wana haki ya kukatwa kama mtumishi mwenyewe ndiyo huyu halafu huu upuuzi wa kukatwa bila willing yako umetoka wapi mimi huu upumbavu hawakuthubutu
Ulaji kaka. maHR hapo ndo wanapopiga kulingana na wakala wa chama husika na dau lake.Ma HR wilayani wamelala au wanapuuzia kama kawaida yao