Supu ya Kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 5,283
- 9,609
Jamani wahusika mtuonekanie. Halmashauri ya Ileje imegoma kabisa kutulipa posho zetu za kujikimu.
Huku vijijini hali ni mbaya hatuna hela na kuemea chakula ni mara moja kwa wiki ikikupita hapo huli wiki nzima hata kama una Hela.
Tusaidieni kupaza sauti. Twafaaaaa hali ni mbaya Sana ajira mpya tunateseka.
Viongozi wa Itumba kama mko humu jamani tusaidieni huku vijijini hali sio hali.